bima

  1. Adriel Vin

    JamiiForums Tanzania Tigo Bima wananifanyia huu uhuni

    Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik) Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
  2. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  3. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  4. vvti engine

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Voda Bima

    Heshima kwenu Wana jukwaa. Kama mada ilivyo, nilipigiwa simu na kitengo Cha huduma kwa wateja Cha Vodabima, wakidai nimekidhi vigezo vyote vya kujiunga na huduma yao ya Vodacom Bima. Maelezo Ni kuwa kwa idadi ya watoto wangu pamoja na mtegemezi mmoja ninatakiwa kulipia huduma hii TSHS. 7,500/=...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 15% Majeruhi wa ajali wanaotibiwa Muhimbili hawana bima, huuza mali zao ili kujitibia

    Asilimia 15 majeruhi ajali wanaopata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanauza vitu vyao vya ndani ili kupata fedha kwa ajili ya matibabu. Aidha, asilimia 20 ya majeruhi hao wanaazima fedha kwa ndugu najamaa kwa ajili ya kugharamia matibabu yao. Hayo yamesemwa Juni 6, 2022...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Bima

    Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party). Hasa Mikoani. Ushauri: Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana. 1) Serikali itaachana na mambo ya Agency 2) Haitawaumiza walipaji (they won't...
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Dkt Nasra: Asilimia 85 ya Watanzania Hawana Bima ya Afya

    OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23. Utangulizi: Leo tarehe 16 Mei 2022, Waziri wa Afya Mh Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI BIMA ILIYOBORA YA NYUMBA NA MAJENGO.

    Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.
  12. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Bima za Magari

    Habari wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu kununua bima ya gari. Nilikua nataka kukata comprehensive, ila kuna mdau akaniambia badala ya kwenda kwa ofisi za bima moja kwa moja ni bora kupitia kwa agent. Mdau akasema ukipata shida ni rahisi kulipwa km ulikata kwa agent maana process...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  14. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Resolution Insurance Placed Under Statutory Management For 12 Months

    Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday. According to the...
  15. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  16. one one chief

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa mfuko wa bima ya afya (NHIF) ningefanya nini?

    Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF. Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati...
  17. witzone2

    JamiiForums Tanzania Magari ya trafiki na polisi hayana bima

    Utafiti wangu rasmi. Magari karibia wote ya kutembelea hayana bima. Hii but kila ninaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huwa nashuka naenda kuangalia kama magari Yao yana bima. Na hiki ni kipindi kile bima zilikuwa zinabandikwa kwenye kio. Sasa hizi za kidijitali ndo kabisa. Polisi...
  18. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

    Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuanzishwa kwa Bima ya mapenzi, ukiumizwa na kama kuna ushahidi unalipwa

    Hii Bima ni muhimu sana, nashangaa kwanini haipo , mambo ya ajabu kabisa!
Back
Top Bottom