Hujuma na maneno bila matendo

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Apr 22, 2006
2,554
1,382
Kuna harufu ya hujuma wwenye mifumo ya malipo ya serikali.

Mwanzo ilifanya kazi. Sasa ni kazi sana kuitumia. Mimi nina siku nyingi sasa za kujaribu kulipa kodi za ardhi na gharama za maegesho kwa njia ya mifumo ya kulipa kwa kielektroniko bila mafanikio.

Siku za nyuma nimelipa kodi na tozo hizi mtandaoni bila tatizo. Nini kimetokea?

Kwenye kodi ya ardhi napata ujumbe kwamba haikuwezekana nijaribu tena wakati mwingine. Ujumbe ninaopata kwenye tozo za maegesho ni ombi lako limepokelewa na nitapata ujumbe muda mfupi baadaye. Lakini hakuna ujumbe unaotumwa.

Nadhani kuna hujuma dhidi ya hizi njia za malipo. Wapo labda wanaofaidika na njia za zamani za malipo. Waandike vijirisiti vyao, vya kweli na vingine vya uongo, na kuweka fedha mfukoni.

Hatutatoboa kama hatutaacha kuwa wa maneno mengi na vitendo hamna. Haitoshi kuzindua na kupiga picha bila kufuatilia baadaye kama tuliyoonekana nayo kwenye luninga yanafanya kazi.

Kuna mtu kasema sisi ni NATO (No Action, Talk Only). Hili nimeliona vilevile kwenye warsha ya Siku ya Kiswahili Duniani. Maneno yetu mengi ya "twende sasa tukabidhaishe Kiswahili" lakini matendo ya ubidhaishi wenyewe yako zaidi nchi jirani. Huko hawasemi twendeni bila kuelezea nini tufanye ili twende.

Ending or absolutely minimising corruption is the "conditio sine qua non" for moving us forward.

Mini-stars please stop calling for action without specifying how it should be done. Stop the empty rhetoric and provide action plans.
 
Ccm ni mafii
 
Back
Top Bottom