Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,851
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.

Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa

Nasema Industry sio Factory
 
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Kaacha cherehani 4
 
Mimi sitaki namba. Bali anitaji kiwanda anachodhani ni cha Magufuli alijenga kwaajili ya Nchi nami namtajia mmiliki wa hicho kiwanda atakachokitaja. Nipo tayari.
Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
 
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Mmmmhhh..

Hii mimba siku ikikutoka utazaaa mapacha.

Viwanda vilijengwa tena kwa wingi na provate sectors.

Magufuli yeye ilikuwa ni kuchochoe tu viwanda. Serikali kazi yake ni kuandaa mazingira ya viwanda tu.

Wewe sijui unatumia akili gani. Mkongwe jukwaani lakini unafanya kama mtu wa facebook.
 
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
Hivi tunavyoongea Mama anaupiga mwingi ,

1.Kongani Kubwa ya viwanda 200 inajengwa pwani na SinoTan,

2.Kongani Kubwa ya viwanda zaidi ya 100 vinajengwa Kigamboni chini ya Elsewedy nk..

Japo hatujazungumzia mamia kwa mamia ya viwanda vingine vinavyotapakaa Nchi mzima..

Yote hayo yanafanyika bila makelele Wala ushamba.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom