bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ATCL yafilisika rasmi, haina ndege za kutosha baada ya ndege tatu kukamatwa. Wanaghairisha safari bila taarifa

    ATCL inasmemekana imefikisja rasm baada ya ndege 3 kukamatwa Kwa SBB ya madeni wakati ndege zingine zikiwa mabovu..hivyo kuasabaisha safari nyingi kufutwa bila kutoa taarifa Kwa wateja.Hapa mwanza..bukoba na chato wasafiri wanapigwa danadana kama enzi za fast jet.Je serikali kwanini inatidhika...
  2. JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  3. JamiiForums Tanzania Bila walimu hatuwezi kufanikiwa

    Competence based education, juhudi ziimeonekana katika kutekeleza sera hii kwa kwa vitendo kwa ujenzi mkubwa mpya wa madarasa kwa hakika Mimi pia ni shahidi mwaka wa fedha 2021/2022 madarasa mengi yamejengwa naamini uandikishaji utaongezeka kwa asilimia kubwa kwa darasa la kwanza na hata wale...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Magoli halali ya Simba dhidi ya Geita, bila bahasha kama wenzetu

    Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira. Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  6. JamiiForums Tanzania Peponi bila kujali kutakuwa na nini ni watu gani wataingia?

    Naomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa hukumu judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo au watakao ingia mbinguni ni watu wenye sifa zipi..? Mhubiri 7:20 [20]Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila katiba mpya wa nini?

    Huko Zanzibar mambo ndiyo kama hivi: Ya nini kufanya uchaguzi bila katiba mpya? Si heri kuwaacha CCM kama ndivyo waendelee tu kulamba asali kwa raha zao? “Insanity is doing the same thing over and over and expecting different results.” Asema Einstein. NB: Tume Huru bila Katiba Mpya ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zama hizi ni sahihi kwa mkaka kumuoa binti bila kumuonja?

    Kungwi mie leo niko katika mtanziko mkubwa. Nimepata mteja jana alikuja kupata ushauri wa masuala ya mahusiano na ndoa. Kuna mkaka ana mdada ambaye anamhudumia kwa mwaka wa pili sasa kwa lengo la kuoana. Lkn dada huyu mwenye miaka 24 tu amegoma katakata "kutoa mchezo" mpk ndoa. Hataki...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TANGAUWASA sasa ni siku ya nne bila maji

    Ni siku ya 4 hakuna maji sehemu baadhi People need water na siyo mambo ya Mowa, mara umeme mdogo and the like!
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya trafiki sasa ni bila kificho, yakijiri mpo?

    Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari. Najiuliza mbona sijawahi kusikia...
  13. JamiiForums Tanzania Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  14. JamiiForums Tanzania Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  16. JamiiForums Tanzania Tunaomaliza mwaka bila sex wala mahusiano tujuane

    Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia 😔😊
  17. JamiiForums Tanzania Watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo na bado unasema unanipenda!?

    Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo najua umefunzwa unyagoni kutunza Mume lakini sio Kama Mimi ,unafaa upate mume na uolewe na sio kuniganda Mimi ukikaa utajua tu utakapokuwa na Akili utajua ni namna gani nakugiribu.
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  20. JamiiForums Tanzania Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima

    Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…