The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi?
Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
Salama wandugu,
Hii nchi mbona double standard sana.
Waliwafanyia interview watu ili kuwapa kazi sasa kama walikuwa hawana hela za kuwalipa hao maafisa wangetangaza ajira za kujitolea kuonyesha uzalendo.
Ingefaa zaidi uzalendo waanze wabunge na mawaziri wasilipwe posho ili haki itendeke...
Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
Nawaza kama siku ya sensa haitakuwa siku ya mapumziko, Je zoezi la sensa litaenda vizuri kweli? Nawaza kitofauti kwamba endapo watu hawatabaki nyumbani hasa hasa watumishi ambao baadhi ya familia hawana mtu anayebaki nyumbani hii imekaaje kupata taarifa za familia husika.
Hii siku waifanye iwe...
Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti.
Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka mitano.
Lakini badae tulianzisha programu ya kuwanufaisha wakufunzi kupitia kuleta wanafunzi kwa maana...
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO.
Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre.
Usikose fursa hii nzuri!
Moja kwa mmoja kwa hasira kubwa..
Ilikuwa haijawahi kunitokea zaidi ya kusikia kwa wenzangu kua mara nyingi unakuta mtu kaweka bocha ya ngama kufanyia shughuli mbalimbali unakuta ghalfa akijiunga salio halitoshi na akicheki salio wamekata kwa kweli inatia hasira sana. Na ukijaribu kuwapigia...
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la.
Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu.
Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma
Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika.
Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
"Oy babu Hauwezi shika milioni kumi au kutengeneza himaya Kubwa kibiashara bila kwenda KWA mganga kuchukua ndagu"
Unamwona Fulani ako na kidonda kisichopona ...
Mangi anae msukule ndani unaodondosha udenda ambao ni hela...
Mpemba anayo majini ...
Hizi ni baadhi ya kauli tinazokumbana nazo...
Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko.
Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
Zaidi ya saa moja baada ya jua kuchomoza tarehe 31 Julai, mkuu wa muda mrefu wa kundi la al-Qaeda Ayman al-Zawahiri alitoka kwenye balkoni ya eneo la katikati mwa jiji la Kabul - inaripotiwa kuwa amekuwa akifanya hivyo kila baada ya maombi .Lingekuwa jambo la mwisho angefanya.
Saa 06:18 saa za...
Na mwandishi Nosim.
Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano
waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali imejitahidi kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto kubwa inayopelekea wananchi haswa vijana na watoto kukosa...
Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi.
Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi.
Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
Donbass fighting is ‘hell’ – Zelensky
The president says Ukrainian forces can’t break Russia’s advantage in artillery and manpower.
Ukrainian President Vladimir Zelensky said on Tuesday that the fighting in Donbass was “hell,” claiming that Kiev’s military remained heavily outgunned and even...
Baada ya mikwara kila siku kwamba Nancy Pelosi akithubutu kuingia Taiwan, basi China itafanya jambo la kweli, wameishia kuandaa maandalizi ya kufyatua makombora kwenye bahari, wanasubiriwa wafanye kweli maana kwenye Taiwan, Marekani ana mkataba kabisa wa kulinda, hivyo atahusika moja kwa moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.