The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga Wala hakuna kelele ambazo zingesikika!
Sasa tuje Kwa Juma Mgunda,
Yeye alishafundisha mpaka Timu ya...
Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote!
Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu?
Football ni zaidi...
Ni Mwigulu alipotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani. Namnukuu hayati JPM.
"nimechoka kutoa salamu za rambirambi kwa sababu ya ajali kila siku, nimechoka, it's too much (kwa uchungu with a very serious tone). Mbaya zaidi ninayetoa ni mimi tu huku waziri akiwa anazurula bila kuchukua hatua...
Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Habari!
Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki.
Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija.
Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu.
Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira ya ualimu, sikufanikiwa kuipata. Mwaka 2016 nikaanza kusoma Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu Huria...
Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza
👇
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa...
Na; Ahmed Omar
UTANGULIZI
Kwa takriban miaka kumi hivi tokea kufanyika kwa Mapinduzi ya 1964 palikuwa pakifanywa uhalifu mkubwa hapa Zanzibar kwa jina la Mapinduzi hayo. Moja ya eneo maarufu ambalo lilikuwa limeshtadi kwa mateso na ukaltili ni gereza la Kwa Bamkwe. Huku gerezani Kwa Bmkwe...
UNYWAJI HOLELA WA DAWA BILA KUPEWA MAELEKEZO YA DAKTARI
Dawa mtu hupewa baada ya kugundulika kuwa ana ugonjwa fulani au ana dalili za ugonjwa fulani, baada ya kumuelezea daktari kwa undani na kufanyiwa vipimo kutokana na dalili alizozisema ila siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la unywaji...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga.
Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume?
Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa sehemu za kujipatia kipato?
Ni lazima mvae nusu uchi? Ukitongozwa ni lazima uombe hela? Hio elimu...
ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA!
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi!
Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu.
Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano.
Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama.
Kikipatikana mapema...
Wakati zoezi la Sensa ya Watu na Makazi likiendelea, ni vema kukumbushana kuwa Faragha ya Mtanzania yeyote, akiwemo Karani wa Sensa, ni kitu muhimu sana katika nyakati hizi
Picha na Video za Makarani zimekuwa zikisambazwa mitandaoni hivyo, tungependa kuukumbusha umma kuwa suala la faragha na...
Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.