Mwana FA anasemaje kwani?Ni siku ya 4 hakuna maji sehemu baadhi
People need water na siyo mambo ya Mowa, mara umeme mdogo and the like!
@maxence alitoa ufafanuziNaombeni kuuliza mbona threads za sikuhizi zinaudhi zinaanza na source 1 , source 2 , mwishoni kabisa inamalizia na tunachokijua, asa ndo Nini.
uko sahihiLawama ziende kwa aliye muondoa mzee Shamte aliyekua mwenyekiti Hadi akafia gerezani ili kumfurahisha mwenda kuzimu.
Nimekaa Tanga Hadi 2004 sijawahi kusikia au kuona maji yakikatika hata kwa nusu SAA.
Oddo Ummy!Endeleeni kuchagua CCM na Oddo wenu Ummy.
Miaka 62 ya uhuru upatikanaji wa uhakika wa maji ni shida tupu hata kwenye majiji na miji mikubwa.
Inatisha sana..!!!