bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Gaidi Ahmed Yaqoub aangukia mikononi mwa IDF na kuangamizwa bila huruma!!

    Mmoja wa magaidi wengine (Ahmed Yaqoub) aliyeangamizwa katika shambulio lile lile la anga huko Jenin leo. Alikuwa njiani kuelekea kuwa kiongozi wa magaidi aliyefanikiwa kuwa toro ka Askari wa IDF Oct 07,2023 leo kajikuta yuko mikononi mwa majeshi ya ISRAEL na ameangamizwa bila huruma yoyote!!
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Dada yangu kipenzi Rais Samia, bila kuwa sawa na CHADEMA utaendelea kutawala kwa tabu mno

    Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki Binafsi, kwa nia njema...
  3. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha

    Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada. Wengine wana...
  4. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kazi Zipo Kweli au CV Zetu Ndio Zinatembea Bila Kufika? 🤣

    Wenye Ajira na Wasiokuwa na Ajira: Je, Tunaelewana Kweli? Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayesema “maisha ni magumu” akiwa na mshahara unaoingia kila mwezi, na yule ambaye kila asubuhi anaamka bila kujua chakula cha siku hiyo kitatoka wapi. Wenye ajira nao wana changamoto zao, hilo...
  5. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Wanaotoa hoja za kumfukuza Mbowe uanachama bila shaka ni chawa wa CCM

    Wanatafuta justification ya walichomfanyia Nchimbi kukichafua Chama. Chadema haipaswi kufananishwa na ccm , iwe mfano wa kuigwa wa demokrasia ndani na nje ya chama.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  7. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Othman: Zanzibar haitonyooka bila Baraza madhubuti la Wawakilishi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, amesema Zanzibar haitofikia maendeleo ya kweli pasi na kuwepo Baraza makini la Wawakilishi, linalosimamia maslahi ya Umma na matakwa ya Wananchi. Amesema Zanzibar katu haitonyooka hadi kuwepo na Baraza madhubuti la Wawakilishi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wana Muharakisha Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi Bila kutoa Uamuzi wa Mashahidi Muhimu

    Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia Ushahidi muhimu ya Baraza la Ulinzi na Usalama wa Njia, kama Aliyekuwa Makamu wa Raisi na wengineo
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nilivyosoma Utetezi wa Tundu Lissu Bila kuathiri mwenendo wa Kesi Tundu Lissu anaenda kunyoa kwenye kesi yake

    Nimesoma Utetezi wa Tundu Lissu yeye ni wakili nguli pia ila naona ameshaziona dalili zote hii kesi ananyoa Bila kuathiri proceeding ya kesi ameburuzwa sana na akapoteana na binafsi nimesoma hukumu pamoja na Proceedings hasa za jinai za Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaani sijawahi kuona...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Bila Mazoezi: Mnakabiliana Vipi na Stress?

    Wakuu nisiwachoshe msinichoshe leo nina swali dogo tu kwenu. Ivi msiofqnya mazoezi huwa mnakabiriana vipi na 1.Msongo wa mawazo na sonona 2.Tatizo la nguvu za kiume 3.Kusosholaizi na watu 4.Ukakamavu 5.Credibility Mnaishije???????
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwalimu wa Sanaa, nafanya kazi Miaka 4 sasa Ilala bila Malipo

    Habari za muda huu wana JamiiForums! Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kero iliyopo kwenye halmashauri yetu ya jiji la ilala. Mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa masomo ya sanaa Mwaka 2016 kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baada ya kuhitimu chuo niliendelea na harakati zingine za...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel haiwezi kupigana vita bila Amerika?

    Israeli ni mojawapo ya nchi zinazojitegemea kijeshi zaidi katika Mashariki ya Kati. Lakini madai mawili maarufu yote ni ya uongo: "Israel haiwezi kupigana bila Amerika." "Israel haihitaji Amerika." Ukweli uko katikati. 🧵 1. Kampeni za mashambulizi za Israeli zimepangwa na kutekelezwa na...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupangilia chumba au sebule yako bila gharama:

    Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo. Kama unataka...
  16. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Lala pema Peponi John Pombe Magufuli Leo wamefungua mradi ulioanzisha bila kukutaja kama Icon wa mradi huo.

    Ni maajabu mradi ulioanzishwa na marehemu JPM kwa utashi wake Leo miaka mitano baada ya yeye kufariki unafunguliwa bila kumtambua kama kinara wa mabadiliko haya tunayoyaona. R.I.P watanzania bado tunakukumbuka.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Mkandarasi Mwalyambi kutolipwa, TANROADS yasema 'Serikali haiwezi kufanya malipo kwa msingi wa madai bila kazi husika kuthibitishwa'

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA NDG. ODWEN MWALYAMBI WA M/S RUHAMA TRIPPLE THREE JUNIOR ENGINEERING KUHUSU BARABARA YA KAWAJENSE -UGALLA-MNYAMASI Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imefuatilia taarifa na malalamiko yaliyotolewa na Ndg. Odwen Mwalyambi wa M/s Ruhama Tripple...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mukumu Girls yaagizwa kulipa Sh300,000 kwa kushiriki picha ya mwanafunzi bila idhini

    Shule ya Sacred Heart Mukumu Girls imeagizwa kulipa Sh300,000 kama fidia baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka faragha ya mwanafunzi kwa kushiriki picha yake na wahusika wa nje bila idhini ya mzazi au mlezi. Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) ilisema shule hiyo ilikiuka Sheria ya...
  20. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kaburi bila Msalaba

    I Mumbi ahojiwa Asubuhi, Siku ya Ijumaa, jua lilitokea mapema na kufukuza baridi kali iliyopenya hata ndani ya mifupa ya mahabusu. Askari alipofungua mlango, mahabusu wote walitoka nje na kuota jua waliolingojea kwa muda mrefu. Hata na inzi nao walikuwa wanalingojea, na wao vile vile walitoka...
Back
Top Bottom