Kuna Wamasai bado wanatahiriwa bila ganzi?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,770
Reaction score
105,500
Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi?

Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
 
Mmojawao ni Mimi. Yaani nakuambia nilitahiriwa bila ganzi halafu kisu cha mtahiri kilikuwa butu. Imagine!

"Ninaucheka wakati uliopita, nikiufurahia ule ujao...🎶🎵.
 
Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi?

Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
Wapo sana
 
Sio Masai tu,hapo nyuma kidogo tulikua tunatahiriwa na ngaliba tena Bila ganzi yani kavukavu kwaiyo maumivu tunayajua vizuri tu
 
Back
Top Bottom