The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Habari za muda huu Wana-JamiiForums,
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la changamoto mbalimbali za afya nchini kwetu—kuanzia magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile presha na kisukari, mpaka yale ya msimu kama vile malaria na matatizo ya mfumo wa chakula.
Moja ya...
Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba umeona ‘ameposti’ WhatsApp haimaanishi amekuruhusu kuwaonesha na wengine bila ruhusa yake.
Mtu...
TUsiwalaumu wazanzibar kwa sisi kukosa serikali ya Tanganyika. Wakati Nyerere anayasema haya hata Mzee Warioba alikuwa hajafa, alikuwepo na yupo hadi sasa. Alimjibu nini Nyerere aipoyasema haya?
https://youtube.com/shorts/oaqKz32hEsw?si=w9HDVY3pWZGaavNV
Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema:
Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini!
Ukimuuliza why? hana sababu
Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu
Hivi hili linawezekana vipi? 🤔
Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu?
Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata...
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania.
Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga?
Kwa sababu ukienda mikoani...
Habari wanajf
Naombeni mwenye uzoefu na masuala ya vitambi anisaidie uzoefu kwenye hili. Inafika muda naona kama kunenepa ni kosa kwasababu mwili unakuja na kitambi,
Nahitaji kukiondoa kitambi ila sitaki kukonda au kupoteza muonekano,
Nimekosa machaguo kabisa,
1.Kuhusu diet inahitaji...
Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti
Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea.
Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya.
Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
Je,
alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia?
Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
bila
chochote
darasa
hii
kesi
kisheria
kisiasa
kufanikiwa
kuomba
kusaidiwa
lisu
mawakili
mtuhumiwa
muhimu
nchi
sana
tanzania
tundu
uhaini
wanasheria
wote
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
Idadi kubwa ya wajumbe wa Umoja wa Mataifa walitoka nje ya ukumbi wakati Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alipoanza kutoa hotuba yake katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa uliowakutanisha viongozi wa mataifa mbalimbali Septemba 24, 2025.
Netanyahu aliwaita walioondoka kuwa “waoga...
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wizi
wizi wa magari
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
Ndiyo, neno "bastard" linamaanisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya kisheria, ingawa pia hutumika kama tusi au neno la dharau katika lugha ya Kiingereza.
Maana ya Asili Neno hili lilitumika kihistoria katika sheria za nchi za Magharibi kumaanisha mtu au mtoto aliyetokea nje ya ndoa halali...
Tume ya Jaji Kisanga(white paper) ilituvusha bila taharuki lakini tume ya Jaji warioba ilituletea chaos
Ukiniambia ni ipi ilikuwa tume bora nitakwambia ni ile iliyotuachia amani yetu Tanzania.
Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs.
TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi.
Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
Hello!
Wasanii nimewataja kama sample tu . Suala la hili linagusa makundi yote hasa yale yanayosaka pesa na umaarufu.
Unapokwenda kwa mganga halisi kutafuta pesa mara nyingi atapigana upate umaarufu kwanza.
Umaarufu katika biashara, muziki, kazi, huduma za kikanisa ndio huleta pesa.
Kwa lugha...
Dunia ya leo imejaa hofu. Wengine wanaogopa kesho, wengine kifo, wengine vita na majanga, wengine uchumi, na sasa wengine wanaishi kwa hofu ya AI kuchukua nafasi za ajira za binadamu. Lakini Muislamu anaishi katika dunia hiyo hiyo akiwa na msingi unaoupa moyo wake utulivu: imani. Kuna misingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.