KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

KERO Kero ya Barabara za Sumve: Miaka 31 Bila Rami!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii ni kero kubwa Sana.

Yani mfano mwananchi anayeishi Malya ambapo Kuna chuo kikubwa kabisa cha michezo East Afrika akitaka kwenda Mwanza mjino atatoka Malya ataenda Maligisu-Nyambiti-Bungulwa-Sumve-Koromije mpaka kona ya Fera bila kugusa rami root yotee ni vumbii na mashimo tupu kwenye barabara mbovu za vumbi.

Kwenye kila bajeti ya mwaka huwa ni kama siasa vile hakuna utekelezaji wowote tunateseka Sana kwenye kusafiri kwenye vumbi na mashimoo😭😭

Ebu wananchi wa Sumve tuoneeni hurum Viongozi. Sijui shida iko wapi maana bungeni Mbunge aliyepita alkuwa akihoji kuhusu barabara anaambiwa upembuzi yakinifu unafanyika sasa ni upembuzi gani huo???

Mpaka alipiga kura ya kupinga bajeti ya serikali 2025/26 kama sijakosea mwaka lkn alipinga kwa sababu ya hatuna rami wala haikuwepo kwenye bajeti.

Viongozi wa juu mkiwa mnafanya ziara msiende mijini pekee nendeni vjijini kama kwenye hili jimbo mvute vumbi na muone kero za wananchi📌📌📌😭😭
 
Huko kolomije ni abandoned area si mnamuona mwananzengo mwenzenu bhashite kakimbilia kwa machalii ya R?

Fanyeni mpango siku kiongozi mkubwa akifunga msafara kuja huko nyinyi mnafunga njia kumzuia asipite mpaka aelezee ni lini anatatambua kuwa huko nako kuna walipa kodi ambao wanatamani kuoneemeka na equal distribution of national cake.
 
Back
Top Bottom