Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 23
- 48
Wakuu Bado naendelea na maombolezi ya kuachwa na Mwanamke wa ndoto yangu Khadija kimodoo, maymivu ni makali sana nayopitia kuhusu huyu mwanamke siamini ,mpaka saivi hata kazini Leo Mchina amenipa likizo siku mbili nipumzike, nimeshindwa kufanya kazi natetemeka,homa Kali sababu ya mapenzi 😭😭😭almanusura Leo nisababishe ajari mbaya na skavetaa yangu niwagonge waheshimiwa,walikuja kukagua mradi,Leo ingekuwa balaa nzito Tanzania,
Sasa mwanangu mmoja hapa site,nimemueleze tatizo langu kanipa bangi iliyochanganywa na sumu ya panya pamoja na konyagi ilichanganywa na dizel na asprin,kasema nikimaliza kuvuta hii bangi nishushie na hy konyagi,nitamsahau naombeni je ni kwelii nikitumia hayo mazaga nitamsahau Khadija wangu yoyote mwenye uzoefu anisaidie