Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo kwenye: kusajili jina la biashara kupitia BRELA.
Bila jina lililosajiliwa, biashara yako ni sawa na...
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi.
Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani)
Au
ufungue biashara uwe unasubiria faida
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
Habari Ndg naomba kwa wadhoefu wa field msaada mchanganuo wa gharama kwa ekari moja wa mazao yafuatayo tafadhali nipate mwanga
1. Nyanya ekari moja
2.Vitunguu vya kawaida ekari moja
3.Hoho ekari Moja
4.Kabage ekari Moja
Habari zenu wana Jf naombeni muongozo kwa anaefahamu
Nataka kufanya Biashara ya kuuza mapochi ya kike. Lakini changamoto kwenye kukata leseni sijui inasimamiwa katika kipengele kipi he ni urembo au kuuza mabegi,?
Ngazi za Biashara ya Mazao
Ngazi ya Kaya
Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni.
Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni
Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi.
Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji
Baadhi...
Sifa ya Ego ni ya mwanaume na si ya mwanamke, mwanaume ndio mwenye ego ya mamlaka na uongozi kwenye ndoa
Hivyo basi mwanamke anapotaka kuchukua nafasi ya mwanaume na kuleta zile habar za 50/50 hapo anakuwa amevuka mstari mwekundu na kutikisa himaya ya mwanaume
Ndio maana ndoa yoyote ambayo...
Ulitumia mbinu gani ?
ilikuchukua muda gani ?
Brand imekupa faida gani ?
Ni kitu gani Unique kwenye brand yako ?
Unajitofautishaje na washindani wako sokoni?
Ni njia gani unatumia kuitangaza brand yako?
Nauliza si kwa ubaya.
Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi.
Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea.
Nini kipo nyuma...
Habarini wana jukwaa,najua ni usiku wengine tupo tunakunywa mbili tatu na huku kukiwa na hali ya hewa murua sana nyanda za juu kusini kama mjuavyo.
Siyo kila anayekesha bar anasherekea m, wengine tunatumia muda kuwaza jinsi mambo yanavyokuwa magumu kwenye mitikasi yetu.
Biashara ngumu jamani...
Una biashara unayoipenda, una uzoefu nayo, unaifanya kwa moyo wote, lakini haina mbele wala nyuma.
Upande mwengine una biashara ambayo huna interest nayo, huipendi lakini inakulipa.
Biahara zote ni halali.
Amekuja mgeni amebuni biashara nzuri na kuita SAMAKI SAMAKI.
Watanzania kwa kukosa ubunifu wakaenda kuiga mara DagaaDagaa na wengine KukuKuku!!
Tatizo wengi walioiga hawajui biashara siyo jina pekee bali ubora wa huduma.
Ukiiga ongeza ubunifu kidogo. Mchina bingwa wa kuiga. Tofauti yake na...
Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao.
Je...
Katika ulimwengu wa sasa, mahitaji ya nishati na mafuta yanaongezeka kila siku kutokana na ongezeko la idadi ya watu, ukuaji wa uchumi, na ongezeko la shughuli za usafirishaji mijini na vijijini. Biashara ya mafuta ni mojawapo ya sekta zenye mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa na katika...
Wakuu habari za uzima wenu nyonte.
Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo mjini.
Nilifika mwenyewe kule katika harakati za hapa na pale nikakutana na mnada hivyo nikaanza...
Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili.
Taarifa hizo ni hizi hapa;
1. Jina la Biashara
Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa.
2. Address ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.