Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa!
Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ]
Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
Miaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa...
Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF ,
Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako ,
Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni...
Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina...
Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni.
Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
Wakuu habari ya Jumapili;
Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Habari wakuu,
Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
NRNE
Wakuu habari za hapo juu.
Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana
Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
Wadau Kila mtu ashawai kusimuliwa biashara fulan na faida inayopatikana ila alipojaribu alikutana na moto wa hatari , Ugumu , kukata ela , kupoteza ramani kabisa. Naomba tuelezee hapa chini biashara gani uliwahi kuifanya ikakutokea pabaya 😅😅 ???
Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii.
SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar.
Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa...
Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
Habari za Wakati Huu;
Je wewe ni mfanya Biashara au unatamani kuwa mfanya biashara?Je kama mfanya biashara unapenda kufahamu mbinu tofauti za kukuza Biashara yako na kuongeza wigo wa biashara yako?Je unatamani kufahamu mbinu mbalimbali za kutatua changamoto za Biashara.Basi tunakualika...
JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY.
Kuna Maduka 60 na Stores
Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi
Bei 8bill tsh
Contact us and Schedule a visit!!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Ningependa kupata msaada kwa mwenye uzoefu wa kuuza asali nnje ya nchi. Kama kenya na kwingineko. au ambae tuanweza kushirikiana nae kufanya biashara hiyo mimi ni mtaalamu wa ufugaji nyyuki na kuzalisha asali.
Kwa mawasiliano 0764866851
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa.
Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.