JF kufungiwa biashara hazifanyiki kabisa humu asee, traffic imekua chache mno,simu haziiti kabisa tangu TCRA waufungie huu mtandao.
Wateja wa JF sio wa wengi ila hua wamenyooka aloo tofauti na huko tunakolipia matangazo.
Meta ads unalipia dollar 25 kwa siku but returns hakuna kabisa.
Huu...
Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
Habari wanazengo,
Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda
Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...
Kwa upande wa location nipo...
Yamenikuta sijui hata nisemeje.
Watanzania sisi watu wa hovyo sana.
Mtu nimeamua kukupa nafasi ya kulipwa kila mwezi ila wewe unaharibu biashara.
Yaani leo kama niliwahi kuwasema vibaya wachina, wahindi au waarabu wanaowapelekesha wafanyakazi wa kitanzania basi natubu, NIMEKOSA MIMI, NIMEKOSA...
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi.
Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️
— -
1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu
Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa.
Lakini ukweli ni kwamba...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
Katika uhalisia wa karne hii ya 21, kutajirika si suala la “luck” au bahati nasibu, bali ni outcome ya akili ya kibiashara yenye foresight, uelewa wa market dynamics, pamoja na uwezo wa ku-position venture yako kwenye sekta yenye exponential growth trajectory. Mtu mwenye intellectual sharpness...
Ukahaba umeshamiri sana hapa nchini ktk zama hizi. Lkn kwa kuwa tumeamua kuwa wanafiki kwa kutokuitambua rasmi biashara hii, makahaba wanaifanya ktk mazingira ambayo siyo salama kwao.
Laiti kama makahaba wangetambuliwa na wakajengewa mazingira mazuri ya kufanyia biashara yao na wakatozwa Kodi...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz.
Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
Masharti ya Mwombaji Ili kupewa leseni ya saloon ya kiume, unatakiwa:
Uwe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi.
Usiwe na rekodi ya makosa ya jinai.
Uwe na eneo lililoidhinishwa kisheria na linalokidhi viwango vya usafi na afya.
Uwe na mkataba wa pango iwapo fremu ya biashara...
Habari wakuu.
Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini?
1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini?
2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na cheti cha level gani?Mishahara yao ikoje?
3). Natakiwa niwe na nini?
Natanguliza shukrani
Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.