Biashara ya Mabasi Dar-Mbeya-Tunduma bila uchawi hutoboi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,806
Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao,
1. Ndenjela
2. Ilasi
3. Sauli
4. Matema
5. Rungwe
6. Scandinavia
7. Hood,
8. Majinjah.
 
Screenshot_20250812-225315.jpg
 
Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao,
1. Ndenjela,
2. Ilasi,
3. Sauli,
4. Matema,
5. Rungwe,
6. Scandinavia,
Mkuu achana na hizi fikra kongwe za kutafuta visingizio visivyo eleweka. Siri ya biashara
Kujifunza kila siku kutoka kwenye changamoto na mafanikio ya biashara yako na kuchukua hatua za marekebisho bila kuchelewa.

Nenda ba wakati na tumia mbinu na teknologia ya Leo sio ya kale.
Kazi yako au biashara itatue matatizo ya wateja wako
 
Scandinavia hakwenda na wakati?
 
Simuungi mkono lakini Ndenjela na Scandinavia walikuwa na vyote ulivyotaja, labda issue zinzweza kuwa management kwa upande mwingine
 
Back
Top Bottom