Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.
Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe.
Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
Habari wakuu.
Katika harakati za kutafuta maisha kuna mbinu na mikakati ya kushinda soko lako,haswa kwa sisi Wafanyabiashara kuna mbinu za kijeshi ambazo huwezi kuzipata popote,ila humu jamii kuna mantillegence wa hatari sana nimekuja kwenu ndugu zangu naomba nipeni mbinu za kuuwa biashara ya...
“Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.”
— Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019.
KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO
Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
Hello habari ya leo wakuu, hongera kwa mapambano ya kutafuta ajira pasipo Kuchoka licha ya kukosa nafasi
Leo nimekuja na wazo la biashara ambalo binafsi nimelifanyia kazi kwa zaidi ya miaka 3 mfululizo na kwa mafanikio makubwa
Kama utaamua kuchukua hatua na kulifanyia kazi basi utajikomboa...
1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
Makala ya Kwanza:
Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za...
Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za kujenga nchi yao.
JKT...
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni.
Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara.
Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara;
1. Aina ya Biashara,
Ni lazima uweke wazi ni biashara gani unataka kufanya mf; Vifaa vya simu
2. Wilaya/halmashauri
Ni lazima useme ni...
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online.
Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World
HAbari zenu wakuu.
Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo.
katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa:
✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store
✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku
SmartBusiness imekua chaguo la wafanyabiashara kwa ajili ya kusimamia mauzo, malipo na hesabu zao kwa urahisi...
Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari.
Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya:
1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili.
2. Kuvutia wawekezaji na...
Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki .
Ila wamechagua njia ya Ku-play low key .
Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao.
Hakikisha October Una-tiki√
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.