Biashara ya ujinga ndo imetajirisha watu hapa Africa
The same person anachukua madini yako at lowest price Ila anarudi na msaada wa Vyandarua na Condoms na unampigia makofi na kuamini Una deni juu yake
Watu walewale waliowatesa babu zako na kukutengeza mifumo kandamizi ndo unaamini...
Ngoja Leo niwape kisa kimoja Cha mshikaji wangu Fulani, tumuite diko. Diko ni house keeping pale hotelini, Yani watu wa usafi
Kipindi na hustle huku na HUKO kutafuta riziki. Nikapata kazi ya ulinzi kwenye hoteli MOJA kubwa.
Nikiwa pale hotelini sababu ya uchangamfu wangu, nilijikuta...
Habari wadau.
Nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani Ruvuma kisha niwe nasafirisha na kuuza maeneo ya Tunduru, Masasi hadi Mtwara.
Naomba mwenye uzoefu anipatie.
Ruvuma nimeishi ila Tunduru kuelekea Mtwara si mwenyeji
𝗧𝘂𝗻𝗮𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗲𝗻𝗲𝗼 𝘆𝗮𝗳𝘂𝗮𝘁𝗮𝘆𝗼:
𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘇𝗮 𝗞𝗶𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮
𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝘄𝗮 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮
Ofisi yetu: Ubungo, karibu na njiapanda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mawasiliano:
📞 0753786858
✉️ nestorywestone@gmail.com
📱 Facebook & Instagram: Amicable Solutions
Facebook: Amicable Solutions...
Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana.
Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya uchumi.
Kama wananchi hawana ushirikiano na serikali kuanzia vijijini mpaka mjini hilo pia ni...
Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe.
Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
wadau kwema..?
Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari?
Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo?
Ntashukuru kama ntapata mpambanaji aliyeko maeneo ya kongo pia.
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini.
kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
Hellow mjasiriamali
Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa.
Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la biashara Yako kuli-keep active.
Hii fee inalipwa mara Moja kwa mwaka na ni Tsh. 5000
Ngoja nikuoneshe...
Wakuu mnaonaje biashara ya namna hii, kua Mimi Nina kiwanja sehem potential ila sababu ya kukosa fedha za kujenga, je ukiingia partnership na mtu ambaye ana fedha ambaye ataweza kujenga kitu kama lodge ama Air bnb...sana sana Air bnb, halafu kwenye mapato mkagawana asilimia, labda 50% kwa 50%...
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nahitaji gari kwa ajili ya kufanyia biashara ya Taxi mtandao(Uber,bolt etc.)
Bajeti yangu ni 7Milion to 8Milion
Gari ipi inafaa?
"Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI?
⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine?
👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii
2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao
3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao , hoteli zao ,migahawa yao yote susuia
Tunaiomba serikali kwa mapana na mrefu…maamuzi yoyote yatakayochukuliwa yatizame madhara kwa short term na long term.
Kabla ya kufanya chochote kile lazima kiangalie je utatuzi huu hautaibua matatizo zaidi.
Chochote kitakachotokea huko mbeleni
Naiomba serikali isizime mtandao kwa gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.