biashara

  1. JamiiForums Tanzania Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    "Hbr zenu ndugu zangu, naombeni wenye uzoefu au utafit juu ya mafuta alizeti ya rejareja hii biashara inakaaje,, Asante u" (UJUMBE TOKA KWA DADA CHOLETA) Wapendwa wenye taaarifa kuhusu hii biashara naomba mumsaidie dada yangu huyu Dada Choleta maana najua hapo alipo anatamani sana kupata...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

    Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
  3. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mgambo wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili acheni kufanya biashara ya barakoa (mask)

    Hivi ni kwa nini mnafanya mradi wa kitoto namna hiyo, mnawazuia raia kupita kwenye geti kama hawajavaa barakoa (hata staff ambao wanapewa na mwajiri wao nyie mnalazimisha wanunue wavae wakati wana elimu ya barakoa kuliko ninyi), na huko nje mmewaweka jamaa zenu ambao hata kutunza (kuhifadhi)...
  5. JamiiForums Tanzania Tujifunze namna ya kujiajiri pamoja na kumiliki kampuni au biashara

    Closed
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri:Nataka nifanye biashara ya makoti ya Leather

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimefikiria nikaona makoti ya leather ni mojawapo ya vitu vinavyoheshimiwa na watu hasa wa ile kanda yetu. Hivyo naombeni ushauri wenu kuhusu upatikanaji wake(machimbo), uhitaji wake na kwenye soko.. Nikipata mzoefu wa hii bidhaa anishirikishe uzoefu wake itasaidia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu: Kutokana na uzoefu wangu wa kupeleka watu machimbo, nataka kuandika kitabu

    Wakuu habari zenu, kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na kupeleka watu machimbo ya maeneo ya biashara, nimeweza kugundua biashara nyingi za kawaida tu, zikiwa na faida nzuri tu, sasa nataka kuandika kitabu ambacho kitakuwa na mambo yafuatayo. AINA YA BIASHARA: Hapa nitafafanua aina za...
  9. JamiiForums Tanzania Wazo la Biashara ya Kuuza zawadi

    Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo. Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na wengine kulingana na nafasi alio nayo. imekua rahisi kuonesha upendo kwa uwapendao kwa kuwatumia...
  10. JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara ya ndoto yako?

    Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria kuifanya. Sasa wewe ipi ni biashara ya ndoto yako na kwa nini unashindwa kuitekeleza mpaka sasa?
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania tuongeze wigo wa Biashara na Congo DRC

    Katika gazeti la The Citizen la leo Agosti 24,2020 habari iliyopo ukurasa wa mbele inasema "Nchi za Afrika Mashariki zinapoteza fursa ya biashara na Congo DRC inayofikia Dola za Marekani Bilioni 10. Hii ni hasara kubwa kwa Tanzania (Sitaki nizisemee nchi nyingine za E.A). Awali ifahamike...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ninayoweza fanya biashara ya mitumba ya watoto Mbeya tofauti na Kabwe

    Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo. Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
  13. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata wazo bora la biashara, imenisaidia sana

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuepuka huu mlinganyo wa shetani, njooni mtoe ushuhuda, (kukosa ajira + biashara kufeli)

    Naposema mlinganyo wa shetani namaanisha hivi, una-graduate chuo na gpa nzuri tu, una-apply kazi sehemu tofauti zaidi ya Mara 104 hivi, na zote unakosa.. Unajaribu biashara kadhaa, lakini biashara zote zinafeli, na kabla ya kufeli, zikiwa zinaendelea, zinakupa hela ya kula tu, hela ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Biashara. Habari vipi, sina uzoefu wowote wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini kuna bidhaa nahitaji kuagiza kutoka china na mzigo unifikie moja kwa moja je jifanyaje?? Msaada please.
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Naomba anayefahamu mchanganuo wa biashara ya ushonaji wa nguo anisaidie.nataka nione kama naweza kumsaidia mdogo wangu anaweza kushona nguo.sina uwezo mkubwa lakini jaribu kutumia mini quatations.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kweli dini ni biashara, dini ni siasa

    Naomba wahusika waniwie radhi kama nitawakwaza. Nimelazimika kuyasema haya . Siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu wa viongozi wa dini kuita vikao wao au kushirikishwa katika vikao na kutoa maneno yanayoashiria kuwa wamepewa kitu kidogo na wenye nacho na hivyo kutoa matamshi yanayotia mashaka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania House4Sale Chumba cha biashara kinauzwa Arusha

    Habari wakuu, Nauza chumba cha biashara (hakijakamilika) Eneo la Morombo sokoni. Bei 6.5 M Mawasiliano 0768734611. Whatsapp 0786817145.
  19. JamiiForums Tanzania Nimegundua biashara mpya 2020 pale sabasaba itayoingiza mamilioni ya shilingi

    Tunawaomba veta mtengeneze kichumba kidogo chenye kiti, dirisha la ndege, meza, mkanda wa ndege, mlango sawa na wa ndege, taa nzuri za ndani ya ndege, ili watu wanaopenda ndege wawe wanapiga picha kwa tsh.elfu tano. Na muwe mnabadili pazia na cover seat Mara kwa Mara,kwakuwa tunapenda kupost...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…