Usimamizi wa biashara, kuepuka mikataba na wizi wa mauzo

Nyamtukila

Member
Dec 9, 2017
29
5
Monitoring system maalumu zinazotumia muunganiko wa camera zenye nguvu zinazokuwezesha kusimamia biashara zote zilizo sehemu yoyote, popote ulipo utaweza kupokea picha za matukio yote katika maduka yako, migahawa yako, salon zako, yaan sehem yoyote unapohitaji kusimamia ukiwa haupo.
Sasa unaweza kusimamia biashara zako zote kwa ufanisi mkubwa zaidi kupitia simu ama computer yako popote muda wote. Ufungaji ni shiling 63,000/= tu, na kwa kila siku 30 za huduma ni 32,000/= tu kuziweka biashara zako kiganjani mwako.

*Faida zake*
- Utaepuka udanganyifu wa mauzo ya kila siku kutoka kwa mfanyakazi/wafanyakazi wako
- Utaweza kudhibiti ufanisi wa utendaji kazi kama vile ufunguaji na ufungaji wa biashara kila siku.
- Utaweza kumiliki na kuendesha kwa ufanisi biashara nyingi sehemu tofautitofauti kwa gharama nafuu *n.k,*




*KUWA MIONGONI MWA WAJASILIAMALI WENYE KASI KUBWA KWA AGIZA SASA, GHARAMA YA UFUNGAJI NI 63,000/= TU, NA KWA KILA SIKU 30 ZA HUDUMA NI SHILINGI 32,000 TU.*

DIGITAL SYSTEMS FOR BETTER BUSINESS COMMUNITY.

*Wajulishe wote marafiki na jamaa*

DIGITAL SYSTEMS
Call/Whatsapp 0764128931
Email: apexbarnokir@gmail.com
 
Camera tu isiyohesabu pesa utashindwa kuibiwa kweli na kila mwez 30 mbona parefu au huduma hii ni kwa matajiri tu?
 
Ni suluhisho kwa biashara ambazo gharama ya huduma ni fixed, mfano car washes, salons n.k, unaweza sasa kusimamia biashara zako zilizo maeneo mbalimbali bila kuwepo via whatsapp.
Karibu
 
Back
Top Bottom