biashara

  1. U

    JamiiForums Tanzania Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

    Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania. Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu. 1. Kila...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaofanya biashara mtandaoni waanza kutozwa ushuru

    Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali. Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe kuleta mnadani Pugu

    Habari wana janvi? Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida. Natanguliza shukrani zangu.
  4. JamiiForums Tanzania Je, ilichukua muda gani kuanza kupata faida katika biashara yako?

    Habari wakuu! Kuendesha biashara inahitaji akili nyingi sana, huu uzi ni maalum kwa watu ambao wamewahi kuanzisha biashara na zikafanikiwa. Katika biashara kuna mtaji (Fungu la pesa la kueendeshea biashara), matumizi (kodi ya fremu, umeme, ulinzi, usafirishaji n.k) pia kuna faida (Mauzo -...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wakuu, Natumai mmeunza vyema mwaka huu mpya. Nijikite kwenye mada yangu. Mimi ni kijana ninaemaliza chuo mwaka huu 2021. Baada ya kuona changamoto ya ajira mtaani hasa kipindi kile cha likizo ya corona mwaka jana nimeona hata kupata kazi tu ya kujishkiza ili kusukuma maisha ni kazi mno...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika, AfCFTA kuanza leo, Tanzania haimo

    Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi pekee ambao hawamo katika Eneo Huru la Biashara, ina maana bidhaa za Kenya kwenda Rwanda au DRC...
  7. JamiiForums Tanzania Kujikwamua kielimu au kibiashara huku ukijitegemea

    Habari, wanajamii? Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi. Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa mtu ambaye ana uzoefu na biashara ya Apple

    Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza. Sasa nilikuwa nataka nijue mwendo wa biashara sasa hivi ukoje mtaani kwasababu nimefanya biashara mda kidog na pia kwa mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Napendekeza leseni za biashara zitolewe na TRA badala ya manispaa, pia SDL ilitolewe TRA badala ya manispaa

    Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

    Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest" Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Nilianza from scratch mwenyewe bila msaada kutoka kwa mtu yeyote...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya kufanya makeup, kusuka na kuuza urembo

    Wadau naombeni ushauri Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  13. B

    JamiiForums Tanzania APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

    Natanguliza kutoa onyo kwa Watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo. DPP ametumia mamlaka aliyonayo kisheria na kuteleza hukumu ya utaifishaji wa bil 5.4 ambazo zilipatikana kwa biashara haramu ya upatu. Mimi kama mkazi wa mkoa wa Geita, eneo la...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wine

    Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya Viumbe Hai

    Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri 1.Mtaji 2.Maeneo ya kupata hivi viumbe 3.Vibari 4. soko 5.namna ya usafirishaji na gharama zake 6.Namna ya kupata connection za hawa wateja 7.mfumo wa malipo na mengineyo mengi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hehehe!! Tz panazidi kuwa patamu, wafanyabiashara wacharazwa viboko na DC hadharani - video

    Yaani hadi raha, mwendo wa hukumu hapo kwa hapo...viboko... Watanzania hunikumbusha mbali sana..dah!
  18. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

    ''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana...
  19. JamiiForums Tanzania TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara. TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma. TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…