FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,052
- 40,715
Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance? Kuna haja gani ya kulipa SDL manispaa wakati TRA ndio wanadata za EFD zinazotumika kukadiria SDL?
Manispaa waache kufanya kazi ya TRA badala yake wawekeze nguvu na akili zao kuboresha manispaa zao, wapewe fungu hazina kuendesha shughuli zao, basi, au la, TRA iwakusanyie na iwe inawaingizia kwenye account yao on a monthly basis, kwisha kazi.