Partner/Mbia wa Biashara - Sales Agents

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Habari ya Asubuhi.

Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania.

Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu.
1. Kila sale/mauzo ambayo mtu atafanya atalipwa kati ya tsh 20,000 hadi tsh 70,000 kutegemea na ukubwa wa mteja aliyemleta.
2. Kila mwezi, tutamlipa partner asilimia fulani ya mapato yatokanayo na mteja aliyemleta, tunategemea kwamba, baada ya mauzo, partner/mbia atashiriki kwa namna moja ama nyingine kumpa mteja support.

Kama kuna mtu ana interest anipigie kwenye 0754 730813
 
Kazi ni kazi
Njoo tusemezane mkuu
 
Back
Top Bottom