Biashara ya kufanya makeup, kusuka na kuuza urembo

Nyalikanho

Member
Sep 17, 2017
53
24
Wadau naombeni ushauri

Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid itapendeza) then akishakua vizuri ndo nimfungulie duka uku mtaani(Kigamboni). je, hii biashara iko njema ?

Uzuri na changamotot zake zipoje?
. Maana mshahara wa mwezi ni ngumu kuwa na maendeleo ya haraka ikiwa ndo nautegemea kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom