biashara

  1. Wabongo Hawatumii Consultants vizuri ndio maana wengi wanafeli kwenye biashara

    Kwanza nianze kwa kusema kwamb mimi ni msahuri mwelekezi wa Kibiasha kwa wajasiriamali wadogo na wakati hasa wanaofanya biashara zneye Mtaji au annual turnover ya kati yz TZS 10,000 hadi TZS Milion 500. Nimebahatika kufanya kazi na wajasiriamali wengi na nikagundua kwamba Wajasiriamali wengi...
  2. C

    Nyumba ya vyumba 12 inauzwa Tabata; wahi tufanye biashara

    Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo na hakuna mgogoro wowote. BEI NI MILIONI 85. MAELEWANO YAPO. Picha nitatuma whatsapp maana hapa...
  3. Huduma za Kusajili Kampuni, Majina ya Biashara kupitia Brela

    Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa kuisajili.Tutakupatia huduma zifuatazo kwa Gharama nafuu: Kwanza tutakushauri kuhusu muundo wa biashara...
  4. Kwa wale ambao watakuwepo Nanenane Mwanza 2020 tupeane uzoefu na biashara na utauza nini

    Habari za asubuhi, Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla barafu halafu nikiashusha uwanjani na hivi jua lilikuwa limewaka nilikuwa namaliza tu nafata kisesa...
  5. Tunauza program ya kusimamia biashara yenye matawi

    Kama wewe una biashara yenye matawi, hii ni habari njema kwako. Hizi ni zama za kidigitali, Business Digitalization Solution, tumekuja na program unayoweza kutumia kwa simu au computer ambapo taarifa za mapato na matumizi kutoka kila tawi utaweza kuziona kila zinaporekodiwa ukiwa popote. Program...
  6. Dhuluma za wauza machungwa

    Habari za asubuhi, Ni kitambo sijafanya mambo humu jukwaani, mwenzenu nilikula block na nimejifunza 😎😎😎. Kuna ubadilifu mkubwa sana unafanywa na wauza machungwa, either kwa makusudi au kutokana na ujinga wa mambo ya uwiano. Hili jambo lapaswa kujadiliwa kwani madhara yake ni makubwa mno, kama...
  7. Tujifunze biashara kidogo

    Haya mambo sidhani kama yanafundishwa darasani. Hii ni street knowledge, real life situations ambazo zinatufunza mengi. Sasa kuna matukio mawili hapa ya kibiashara, naomba mwenye jibu la mojawapo au yote anipe. 1. MOJA TZS 3,000/=, MATATU TZS 10,000/=. Mzee mmoja pale Magomeni Mapipa anauza...
  8. Biashara katika Siasa na ajira ya Serikali katika Siasa

    Nimesikiliza kilio cha waajiliwa wa serikali walioonesha niya ya kutaka kugombea nafasi ya Ubunge baada ya kujikuta wanakatiwa mshahara wa mwezi July. Serikali iko sahihi maana kuna mwongozo wa aina hiyo. Tatizo ni kwa nini serikali iliweka mwongozo wa kibaguzi aina hiyo? Yaonekana serikali...
  9. Biashara ya butcher ya nyama ya ng'ombe

    Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu. Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe mzima mwenyewe kwenye minada na kuchinja. Location: Morogoro Ifakara. Budget: million 4
  10. H

    Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

    Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote. Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...
  11. Kwanini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria?

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  12. Kwa nini tusifanye kilimo biashara cha konokono kama Nigeria

    Hey wakuu! Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo. Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
  13. Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA Haijalishi watu ni masikini kiasi...
  14. Fahamu Umuhimu wa kutangaza Biashara yako

    Na saboso JR Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora ya utoaji huduma na bidhaa kwa kiwango cha juu, kuajiri wa wafanyakazi wengi na kuwapatia mishahara...
  15. Biashara ya ngono inavyofanyika baharini

    Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani. Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji. Katika eneo la bahari ya Hindi sasa biashara hii imekuwa ikifanyika kati ya wafanyakazi wa meli...
  16. Unajitangazaje au unawajulisha vipi watu kuhusu biashara yako?

    Vijana kazi yetu ni moja tu hapa mjini,kuinuana na kupeana mbinu za kusurvive ili kuepuka zile aibu za kurudisha mpira kwa kipa na yale maneno ya "Laiti ninge",katika maneno sipendi kusikia mtu akitamka ni pale anapoanza kusema "laiti ninge" yani ukishaweka "Ninge" ktk sentensi yako maana yake...
  17. L

    Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  18. Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  19. House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  20. B

    Leseni ya biashara

    Habari zenu! Hivi ili kuomba zabuni za kukusanya ushuru, leseni yake inaitwaje na inapatikana wapi? Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…