Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

fuvu la paka

Senior Member
Mar 29, 2015
133
76
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.

Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.

Karibuni Wanafamilia wa JF

PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
 
Funguka unataka ujitose vipi? Una mtaji? Umelenga kukaa ktk point gani ktk chain ya uzalishaji? Madini gani? ( Vito ama dhahabu)
 
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.

Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.

Karibuni Wanafamilia wa JF

PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
Kama una pesa ya kutosha siyo bahati ni uhakika kabisa.
 
Kuwa direct mkuu
Kwani kwenye madini kumbe mbishe mingi hasa chunya.
1.kuchimba
2.kununua
3.kumiliki karasha kwa ajiri ya marudio
4.udalali
5.kujenga Gest za mida kwenye milio
7.kujenga lant au elution n.k
Hata kumiliki sururu na zile tindo zao sijui zinaitwaje itwaje nyundo kubwa sana dili pia ni uwekezaji, viripuzi, nk nk
 
Kuwa direct mkuu
Kwani kwenye madini kumbe mbishe mingi hasa chunya.
1.kuchimba
2.kununua
3.kumiliki karasha kwa ajiri ya marudio
4.udalali
5.kujenga Gest za mida kwenye milio
7.kujenga lant au elution n.k
Jibu hii nipate pakuanzia
 
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.

Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.

Karibuni Wanafamilia wa JF

PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
Eneo gani chunya lenye ppm mzuri kwaajiri ya ukuzaji wa kifusi?
 
Back
Top Bottom