biashara

  1. JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu, tupeane dondoo za biashara ya kuuza saruji (cement) kwa rejareja

    Habari wadau, kazi iendelee Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji. Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo baada ya kuuliza hapa na pale,kuna jamaa alisema eti Ili uone faida yake ni nzuri mtu akianza na mzigo...
  2. JamiiForums Tanzania Inaonesha hila alizofanyiwa mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe zilikuwa na baraka za Serikali ya awamu ya tano

    Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi. Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo hilo lisingechukua muda mrefu kiasi hiki. Pia nadiriki kusema mateso aliyoyapata huyu mfanyabiashara...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Karume wameunguliwa soko, ila Waziri wa Biashara hajaonekana mpaka sasa

    Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa. Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEMI. Hivi TAMISEMI wao kila sehemu wapo?. Si watakuwa wanaishia kutoa matamko tu kazi hazifanyiki?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dry Cleaner and Laundry

    Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini biashara nyingi za Wasafi/Diamond hazidumu sokoni?

    Mambo vipi wanajamvi? Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko? Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na amethubutu kuwekeza ndani na nje ya Muziki wake, ametoa ajira kwa vijana kadhaa. Lakini swali moja...
  7. JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya saluni ya kiume

    Habari wakuu, naamini mko salama kabisa. Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo awali lakini ninapenda niifanye, ila kama mjuavyo biashara yoyote ile kabla haujaifanya ni vyema...
  9. JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  10. JamiiForums Tanzania Nina Milioni moja, Biashara gani nawezafanya?

    Msaada wakuu nimemaliza chuo naishi mbeya mjini Biashara gani naweza kufanya kwa 1mil
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi biashara nyingi Bongo zinavyoanguka ghafla

    Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu. Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukuzaji wa biashara

    Salaam! Kama ilivyo kwa kiumbe chochote kiwe hai au kisicho hai inafikia kipindi kinahitaji new energy au mbinu mbadala kuweza kutoka pale kilipo na kusogea sehemu nyingine. Vivo hivyo kwa biashara. Hivyo basi, Mfanyabiashara hata wa mtaji wa shilingi laki 1 unapaswa uwe na mpango wa muda...
  13. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa Ubungo - Hili Tangazo Mnaongeza gharama za kufanya Biashara

    Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbia kwenye biashara ya kuuza asali Kenya

    Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
  15. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi 4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi 5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muheshimiwa SSH mteue Prof. Madam Geraldine Arbogast Rashel wa GPSA kuwa waziri wa Viwanda na Biashara.

    Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa. Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Eneo la kununua kwa matumizi ya biashara Chanika

    Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo la kununua la biashara Chanika, Dar es Salaam

    Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununu Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakuwekeza naye kwenye biashara yaukopeshaji

    HABARI WANA JAMII WEZANGU NAAMINI TUMEAZA VIZURI MWAKA 2022.KIUKWELI NAPENDA SANA NANA FURAIA UWEPO WA WADAU ASA KWENYE SECTA YA UCHUMI .NINAWAZO LA BIASHARA NAKWAKIASI NAIFANYA LAKINI MPAKA OFISI NIMEFANIKIWA KUFUNGUA LAKINI KIUKWELI NAZIDIWA NAWATEJA NA MTAJI WANGU BADO AUTOSHI KWAANAYEITAJI...
  20. JamiiForums Tanzania Nani ni mteja wako? Mbinu za kumtambua mteja wa biashara yako

    Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi. Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui. Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu. Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…