Naomba kujuzwa vigezo vya kufanya biashara ya kusajili laini za simu

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
181
122
Wapendwa wangu habari za juma pili...naombeni kujua vigezo unavyotakiwa kuwa navyo ili uweze kufanya biashara ya kusajili line. Natanguliza shukrani
 
Fika Office za mtandao husika upate maelekezo na upewe kazi leo leo MKUU.. wahi mapema uanze kazi mapema.. hawanaga vigezo vingi wala hawanaga vigezo vizuizi
 
kwasababu ushasema ni biashara vigezo muhimu uwe na Nida,Tin na leseni ya biashara.
kwa mengineyo fika ofisi za mitandao.
 
Uwe mwaminifu,mvumilivu na mtu wa kujituma...hvyo ndo vigezo vkuu kama huna document yyte...
 
Fika Office za mtandao husika upate maelekezo na upewe kazi leo leo MKUU.. wahi mapema uanze kazi mapema.. hawanaga vigezo vingi wala hawanaga vigezo vizuizi
Mia sana man. Hakuna mashert kama ya leseni na vitu vingine?
 
Nida namba Kama unayo nicheck nikuunganishe na team leader mwenye connection ya nchi nzima ndani ya siku chache unakabidhiwa mtambo.
 
Back
Top Bottom