Naomba uzoefu wa biashara ya utotoleshaji wa vifaranga

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Wafugaji wenzangu leo naomba tupeane uzoefu kuhusu biashara ya utotoleshaji vifaranga vya kuku, utaratibu upoje na bei zake zipoje.

1. Analipia kila yai analoleta au kwa kila kifaranga kitotolewacho.

2. Bei huwa sh ngapi na bei hutolewa kwa kila yai au trei nzima.
 
Analipia kwa kila Yai na usikubali alete mayai then vifaranga wakitoka ndo aje na pesa. Make kuna wanao leta mayai mabovu unakuta trei nzima kinaanguliwa kifaranga kimoja tu, na hapo ka hajalipoa anainhia mitini.

Ni biashara ya lawama sana, lawama ni nyingi mno
 
Bei ipoje kwa yai sh ngapi au kwa trei sh ngapi.?
 
kuna kipindi tulikua tunalipia 500 kwa kila yai sijui kwa sasa itakua sh ngap na mgao huu
 
Back
Top Bottom