tovuti website
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 418
- 521
Habari za asubuhi waungwana;
Kama tunavyofahamu changamoto ya ajira ni dhahiri kwamba ipo na kwamba hali ya uchumi bado ni tete na fursa zinaendelewa kuwa adimu.Hata hivyo tusife moyo kwani maisha lazima yaendelee. Baada ya kuangalia na kufikiri kwa muda nimeona niwashirikishe fursa ambayo imekuwepo na watu wanaitumia sana ambayo inahusisha biashara ya kidigitali.Biashara hii inahusisha kuuza bidhaa na huduma za kidigitali kwa wateja.
Bidhaa ninazozizungumzia ni pamoja na tovuti(websites),Applications na systems mbalimbali,Online shops,etc.Huduma au bidhaa hizi unaweza kuziuza kama affiliate,reseller,au kwa mfumo wha whitelabel self branding.Mimi binafsi tayari ninashiriki katika kuuza baadhi ya bidhaa na huduma hizi sokoni na kwa muda mfupi niliokuwa sokoni nimeona kabisa kwamba demand(mahitaji ) ya huduma hizi yanaendelea kukua hapa nchini. Nitaanza kuelezea kwa kina kila eneo na namna ambavyo unawez kunufaika:
Eneo la kuuza websites(Tovuti)
Katika eneo hili unakuwa unawauzia wateja wake sehemu ya kuweka maudhui yao(server) ili yaweze kufikiwa na watu wengine kwa kupitia tovuti.Mfano unapotembelea www.jamiiforums.com au unapotembelea www.tzhosts.com unakuwa umetembelea maudhui ambayo yamehifadhiwa katika servcer fulani sehmeu fulani ya dunia.Maudhui hayo yanaweza kuwa kwenye computer yako au unaweza kukodisha hifadhi katika watoa huduma wakubwa. Bei za servers kwa ajili ya kuuza zinaanzia shiling 45000 kwa mwezi na bei ya servers kwa ajili ya kuhifadhi data zako zinaanzia shilingi 25000 kwa mwezi.Server za kuuza maana yake ni kwamba unaweza kuwauzia watu wengine nafasi kulingana na mahitajia yao.
Unaponunua servers unaweza kuhifdhi mifumi na apps mbalimbali kwa ajili ya wateja wako.
Eneo la kuuza Applications na Systems
Hili ni eneo ambalo lina fursa kubwa kwani kuna bidhaa na huduma ambazo zinawasaidia wateja wako kusimamia biashara zao vizuri.Baadhi ya huduma hizo ni mifumo ya kihasibu,mifumo ya usimamizi wa rasilimali watu,mifumo ya usimamizi wa masoko,mifumo ya erp,crm na e-commerce.Mifumo yote hii inalenga kukuwezesha kuongeza huduma kwa wateja wako.
Ipo mifumo ya aina mbili ambayo ni mifumo ya OPEN SOURCE na mifumo ya PROPRIETARY ambapo hii ya kwanza huwa inazalishwa na jumuia ya watu wanaojitolea kwa pamoja huku wakihitaji kiasi kidogo cha malipo(Donation) ili wakusaidie kufanya customization ya mfumo wako.Kama unao utaalamu unaweza kufanya customization mwenyewe.Mifumo ya Proprietary inakuwa na hati miliki ambapo ili uweze kuiuza na kuitumia unahitaji kuwa na leseni/kibali.
Fursa zote hizi unaweza kuzifanya ukiwa mahali popote(HUHITAJI OFISI) na kwa mtaji mdogo sana ambao haufikii kodi ya FREMU kwa mwaka.
Iwapo ungependa kuanzisha biashara yako kama hii ambapo utapatiwa Mafunzo na usaidizi wa jinsi ya kuifanya vyema basi wasiliana nasi kwa email:info@tzhosts.com au tembelea tovuti yetu www.tzhosts.com ufahamu zaidi.
Karibuni sana