Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo
1. Kusajili kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and...
*Kwanini Manabii wengi sanaaa wanahubiri watu KUKUA KIUCHUMI kuliko kuhubiri UFALME WA MUNGU?
*Kwanini SADAKA na MICHANGO ya kiimani imekuwa AGENDA kubwa katika mikutano ya KIDINI kuliko mafundisho ya TABIA NJEMA, UTII KWA MUUMBA na UPENDO?
Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake.
JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali) inayopuliziwa kwenye majani, si kuunga ardhini.
Matokeo yake ekari moja unayopata gunia 5 au 10 za...
Wanabodi,
Nilihudhuria hii eventi
Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.
Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.
2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021...
Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM.
Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri.
Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi.
Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika
Haina shughuli za...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
Fadhili Mpunji
Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani!
Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
Wasalaam wakuu,,,
UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya)
Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
Habari!
Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi.
Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo.
Kama...
TRA Arusha mnakumbuka kesi hii
Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki.
Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha...
Habari wadau,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.
Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii.
Location ni kigamboni
NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.