Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi.

Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
 
Kwa bahati nzuri aliyepo Buza haoni umihimu wa Bandari ya Mariuopol kuliko Putin na washauri wake! Hivi nani anawaongopea nyie? Kila kitu mnajifanya mnakijua kuliko wenyewe?

Aliwekewa vikwazo Iran na mafuta yake kuuza nje na anauza mpaka leo kias meli yake ya mafuta ilikamtwa na Uingereza nayeye akakamata Meli yao sembuse Russia!
 
Ingekuwa haina faida yoyote kwa urusi nchi za magaribi zisingekuwa zinampigia magoti putini kumbembeleza afungue hiyo bandari hadi guteres kila siku analia hiyo bandari ifunguliwe lakini putin amekataa amesema haitafunguliwa hadi vikwazo vyote alivyowekewa viondolewe
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Hapo wenyewe wanakwmbia wanaikomoa Ukraine
 
Ingekuwa haina faida yoyote kwa urusi nchi za magaribi zisingekuwa zinampigia magoti putini kumbembeleza afungue hiyo bandari hadi guteres kila siku analia hiyo bandari ifunguliwe lakini putin amekataa amesema haitafunguliwa hadi vikwazo vyote alivyowekewa viondolewe
Ww nawe ndondocha kweli, UN ni nchi za magharibi. Hv shuleni mlienda kujifunza nn
 
Marekani Hawa Hapa wanalia Lia njaa Kali ulaya nzima.

Bandari ya mariupol imezuiwa,
Stock ya chakula haiendi kokote.

Ulaya njaa ni Kali mno
Screenshot_20220521-103728.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayepata hasara ni Ukraine! Kwa sababu miji yote ya bahari (Black sea) ikichukuliwa Ukraine itakuwa landlocked.
Haitakuwa na mlango bahari wo wote wa kupeleka au kupokea bidhaa kutoka nchi za nje vinginevyo itapaswa kuilipa ushuru Russia ili kupitisha bidhaa zake.
Na nadhani mji uliobaki ni Odesa ukitekwa basi tena.
Ukraine itabidi itegemee Reli inayoinganisha na Poland na Hungary ambayo kama sikosei nayo imefumuliwa tena na makombora ya Russia.
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Nyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto tu hamna namna nyingine.
 
Nyinyi Ukraini mnatuchanganya sasa. Urusi isipochukua Maeneo mnafulahia eti Urusi ni dhaifu haiwezi vita. Mkipelekewa moto na Maeneo yenu kuchukuliwa mnakuja tena na polojo eti Urusi hatafaidika na maeneo aliyochukua. Sasa mimi napendekeza mpelekewe Moto hamna namna nyingine.
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
 
Je unajua kama Urusi alishawahi kufanya kama hivi 2014? Alichuku eneo la kirai la Ukraini na mpaka leo ni sehemu ya Urusi na hakuna shobo.
 
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Tatizo wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanajificha na silaha kwenye majengo ya raia,shule,hospitali na viwanda! Sasa majeshi ya Russia hayakuwa na namna zaidi ya kushambulia majengo.Angali mwenyewe jinsi walivyokuwa wanachomolewa kwenye kiwanda cha Azov steel industry.
Kwenye kiwanda hicho ndiko wanajeshi wa Ukraine walikokuwa wanashikilila raia wasitoke.
 
Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi
Bandari ya Mariuopol urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika

Haina shughuli za kibandari za kibiashara
Uzi tayari, wachambuzi wa mchongo ni shida
 
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Bado na ODESSA ili akiuke vyema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom