biashara

  1. jian

    Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  2. tpaul

    Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  3. Comex

    Biashara ya mahindi

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?
  4. K

    Biashara ya kupeleka Malawi

    Wakuu, Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
  5. Tujisahihishe Tz

    Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

    Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani. Nipigie simu 0621604087 IKO HIVI Kama una hela nenda Dar chukua...
  6. Godee jr

    Kwa wenye malori tu njooni tufanye hii biashara

    Kuna jamaa yangu anahitaji malori ya tani 30 kwa akili ya kuchukua korosho masasi kuzileta kurasini. Bei ni 70,000 kwa tani. Malipo ni 50% wakati unaenda kupakia na iliyobaki mtalipana mzigo ukifika Dar. Dereva atakuwa na escort ya mwakilishi wa mtu mwenye mzigo. Zinatakiwa gari zaidi ya kumi...
  7. sky soldier

    Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  8. Professor X

    Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  9. hudyrawaaah

    Wanaofanikiwa kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidhaa ni wanaouza bidhaa kwa bei halisi

    Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanaouza bei ya bidhaa. Watanzania tunapenad kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu.
  10. sonofobia

    Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  11. Frumence M Kyauke

    Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  12. A

    Fursa ya kujiunga kwenye maonyesho ya biashara nchini china

    hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
  13. prettya

    Ni biashara gani unaweza kufanya isiyohitaji uangalizi wa mara kwa mara?

    Salaam kwenu wote Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
  14. Kibenje KK

    Contena linauzwa kwa matumizi ya biashara

    CONTENA ZINAUZWA FUTI~>40 LOCATION : MBAGALA BEI: MILLION 7 @ MAONGEZI YAPO FULL DOCUMENTS CALL ME ~>0762815104 #WHATSAPP ~>0762815104
  15. 1ndazMaterial

    Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used. Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema...
  16. Lycaon pictus

    Hivi kupata leseni ya biashara ni mpaka uwe na Tax clearance?

    Wakuu tax clearance ni lazima kuwa nayo unapoomba leseni ya biashara?
  17. KING ASSENGA

    Kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara na tuna mawazo ya biashara

    "Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,. Ninapoomba huu...
  18. S

    Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

  19. L

    Biashara ya mtoa huduma ya Internet

    Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri. Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni kiasi gani ahsanteni
  20. Lycaon pictus

    AirBnB inafanyaje kazi?

    Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa sana. Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi...
Back
Top Bottom