za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu.
Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga.
For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
Ningependa Leo nizungumzie maswala ya kiroho na walengwa ambao Nataka niwakumbushe neno la Mungu ni Wale wanao mwamini Mwenyezi Mungu. Kama wewe humwamini Mwenyezi Mungu au unaamini Mungu hayupo basi huu Uzi haukufai.
Mwenyezi Mungu anasema katika Kitabu chake katika Suratul Ibrahim Aya ya 31...
Mara nyingi ninapokutana na wamiliki au wakurugenzi wa makampuni (Business Executives), huwa nawauliza ni njia ipi huwa wanatumia kujijenga sokoni "market leading branding" wengi wanasema kufanya matangazo (advertising) ndio njia muafaka, kwa sababu; matangazo hujenga uelewa wa huduma au...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii.
Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI
Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
Habari!
Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla.
Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
Utangulizi
Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au kanuni. Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi mnaowaona wamefanikiwa katika biashara wamepitia njia...
Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo.
Wanufauka ni
Nigeria - nafasi 23
Kenya - Nafasi 12...
Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
Salama wapedwa?, nawasalimu, leo nataka kushea na ninyi machache kuhusiana na hizi biashara ndogo-ndogo, ila nitajikita sana katika biashara ya mahindi, naamini usipokata tamaa kusoma kuna maarifa lazima uyapokee mazima-mazima, naomba zima tv yako, radio yako nk, halafu nipe akili yako yote kwa...
kwanini tunafanya biashara?
Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
Habari wana JF, kama kuna mtu anaweza kunitengenezea posters kwajili ya matangazo ya biashara yangu online plse nicheki kwa namba 0717217520 calls & whatsapp.
Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema ni rahisi kufanikiwa ila tunashindwa namna ya kufanya bishara kinachotufelisha mara nyingi ni...
Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha nia ya China ya kufungua mlango zaidi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika biashara ya...
MAANA YA NAFAKA.
Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo.
Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.