biashara

  1. C

    JamiiForums Tanzania Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  3. King snr

    JamiiForums Tanzania Kukuza mtaji wa biashara ya kompyuta

    Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza biashara hii mtandaoni kwa kuwa napost bidhaa ambazo sina mteja akihitaji naenda kumchukulia changamoto ya...
  4. masai dada

    JamiiForums Tanzania Biashara siyo rahisi

    Nimeamini ndiyo maana wafanyabiashara huwa ninawaona wachoyo hawatoi kumi yao. Biashara ina tuvimambo fulani fulani huwezi kuvikuta kwenye kuajiriwa. Aisee,biashara si jambo jepesi, yaani kujiajiri kwa kifupi fikiria kuamka saa 9 usiku kufata samaki Feri. Halafu kupeleka uji usiku wa manane...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vitu used

    Wakuu Nina goli ninauza vitu used mfano majembe, nyundo, nyaya za umeme used, swichi used, pasi za mkaa used Na makorokoro mengine wapendwa nahitaji sapoti yenu ya hali na mali Nimeyumba kimtaji kidogo pia kama kuna mtu ana bidhaa tajwa hapo juu anaweza niuzia kwa bei nzuri pia, kama...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

    Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG kwa katika mikoa yetu yote Tanzania. Vituo vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  10. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  11. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufeli katika biashara?

    Watu wengi wanaanzisha biashara lakini wengi pia wanafunga biashara, sababu na shauku ya kuanzisha biashara mara nyingi ndio hiyohiyo ya kufunga biashara ila nina wazo au kanjia kadogo ambacho labda kanaweza kukusaidia. Kama umefeli katika biashara yako, swali la msingi kujiuliza nimefeli mara...
  12. Trab-Trat

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuokoa biashara yangu?

    Nipo kwa hard time sana my business is about to die loooh[emoji22] Biashara ilikuwa poa tu ila kuna namna ilizidiwa na matumizi (kuna kipindi cha uhitaji mkubwa nilipitia) the same time ina mkopo nimerejeresha miezi saba kila mwezi narejesha 450k Tatizo kubwa nimeishiwa bidhaa nyingi, hii...
  13. Mowwo

    JamiiForums Tanzania 𝙆𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝙣𝙜𝙤𝙣𝙤 𝙞𝙣𝙖𝙥𝙖𝙨𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙖 𝙝𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞

    Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni. Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake? Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa kukosoa ni sawa. Mimi maoni yangu naona ni vizuri kazi ya ngono kuwa halali kupitia taasisi au...
  14. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza mboga ya kisamvu

    Habari Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k nitashukuru sana kwa mawazo yenu Asanteni
  16. CharmingLady

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Madanguro yaliyoboreshwa: Biashara inayokua kwa kasi

    MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI Anaandika, Robert Heriel Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani. Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya, ushoga na usagaji ikiwa ni miongoni mwa kazi za Mijini. Licha ya kuwa Dini imekataza mambo hayo na...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

    Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi...
  19. Contraband

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kufanya biashara epuka kabisa madalali wa uswahilini. Kilichonikuta kimenipa funzo

    Nipo kwenye mkoa mmoja kwa muda sasa kikazi. Baada ya kukaa kufikiria kwa muda mrefu sana, nikaona ni vema nikijenga ka kibanda cha kujisitiri. Basi katika kuulizia ulizia kuna mtu mmoja alifanikisha kuniunganisha na madalali na akaniahidi kuwa ni wa uhakika katika biashara za viwanja...
  20. Kamotee

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo. Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite...
Back
Top Bottom