Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo
Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020.
Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Twilumba Mlelwa Amesema kuwa, maonyesho ya 46 ya Jukwaa la kimataifa la biashara Dar es Salaam DITF yalikuwa na mafanikio makubwa sana ikiwa na ongezeko la washiriki na watembeleaji ambapo jumla ya kampuni 3200 za...
Habari wana jukwaa wa jamii forums
Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
Habari!
Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu.
Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue.
Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
Mwanzoni wakati mfuko huu unaanzishwa ulikuwa unafanya vizuri sana kwasababu ulikuwa unachangiwa na Watumishi wa umma na kuwahudumia watumishi wa umma. Mfuko ulikuwa stable sana. Tatizo lilianza mlipoingiza tamaa za kuufanya kuwa mfuko wa biashara badala ya huduma.
Haikupaswa taha kidogo...
Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua...
Salamu!
Mada inajieleza,
Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato.
Nadhani nimeeleweka!
Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga.
Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?!
======
Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk.
Naomba kuelewa
1. Risks zake
2. Faida yake
3. Mtaji wake
3. Mahali pazuri kokote tz
4. Masoko na mauzo jumla na rejareja
That is all...
Ni baadhi yao,,, sio wote
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.
Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa...
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.
Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo;
Database
1. Database cleanup
2. Database optimisation
3. Database...
ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika.
Mfumo wa kutoa bidhaa pendwa za MUDA,PESA na USALAMA wa muhusika kwa lengo la kujizolea ujuzi na...
Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa mbalimbali zinauzwa, zinanunuliwa na kutangazwa kupitia mitandao ya kijamii na tovuti.Hapa nchini...
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208.
Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo itungwe mwaka 1972, hivyo maendeleo ya sekta ya biashara yamesababisha haja ya mabadiliko yake...
UTANGULIZI
Watu walio wengi kwa sababu moja au nyingine huwa hawawezi kutengeneza fursa za biashara kutokana na kuanza kwa biashara moja kupitia Mnyororo wa Thamani. Fuatilia Makala hii kwa makini uone jinsi unavyoweza kufanya hivyo kwa biashara yoyote.
Mnamo mwaka 2019 nilianzisha na kusajili...
Kwako Wizara ya Nishati,
Rejea Tangazo la ajira za shirika letu la mafuta, TPDC. AJIRA MPYA -
Shirika limetoa ajira nyingi za kutosha lakini kuna baadhi ya fani za mafuta hazijatajwa kwenye Tangazo hilo ilihali watu wa fani hizo wanaweza fanya kazi hizo.
Tunazo fani nyingi za mafuta na gesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.