Naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki. Nini faida na hasara zake?

ChampN199

Member
Jul 5, 2021
21
44
Habari Wana forum,

Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri.

Pia hata njia sahihi na ya uharaka zaidi wa kupata bidhaa hizo za vipuri. Wenu katika forum hii ya uchumi, biashara na ujasiriamali.

Naomba kuwasilisha JF
 
Habari Wana forum , kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi , hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri ,pia hata njia sahihi na ya uharaka zaidi wa kupata bidhaa hizo za vipuri . Wenu katika forum hii ya uchumi, biashara na ujasiriamali . Naomba kuwasilisha JF
Msaada wenu jamani
 
Ndugu yangu na mimi nmeweka kituo hapa
Me nataka Biashara ya lubricants na vipuri vya Pikipiki ngoja tu update uzi ili ukae juu wadau wauone wamwage maarifa
Zipo nilizosoma ila ni za muda mrefu sana zipo hadi 2014 mazingira yamebadilika mno kwahiyo huwezi kufanya base moja kwa moja ya kupata Information
 
Mimi naitaka hata hii, Ya lubricants za magari, malori na pikipiki.

Wadau waje watupe maarifa hapa
 
Habari Wana forum,

Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri.

Pia hata njia sahihi na ya uharaka zaidi wa kupata bidhaa hizo za vipuri. Wenu katika forum hii ya uchumi, biashara na ujasiriamali.

Naomba kuwasilisha JF
Vipuri vya pikipiki:
Cha kwanza inategemea na mahali unapotaka kufungua hiyo biashara kwa maana aina ya pikipiki zinazopatika kwenye hilo eneo mfano boxer, TVs, Gn( Fekon,Sun lg, kinglion, haoujue n•k).
Pia upatikanaji wa spare kwa bei ya jumla kwenye mkoa wako ndiyo utakaoamua ni mtaji kiasi gani kuwa.
n•b Eneo lenye mchanganyiko wa pikipiki tofauti tofauti(rejea kifungu no 1 aina ya pikipiki) ndilo litakufanya na wewe kidogo upasuke mfukuni ili kuendana na mahitaji ya wateja wako.
Kuhusu vimiminika lazima uwe navyo mfano oil, mafuta ya brake, hydraulic fluid.
Ila cha kuzingatia zaidi fanya kupata ushauri kutoka kwa mafundi walioko kwenye eneo unalotaka kufungua biashara yako.
 
Sawa Kaka , Mwenyezi akubariki hichi ulichokitoa shukurani saana
 
bado hujang’amua vya kutosha.

mkuu ungeongrzea nyama ingekuwa poa.
Wengine hatuna ideas na hii mishe ila tuna penda
 
Ushauri wangu ni wa jumla.

Kwanza umetaja magari na pikipiki, kuna uwanja mpana sana kwenye hizo biashara inabidi uingie ndani zaidi ujue unataka ku deal na nini haswa, maana kiuhalisia huwezi kufungua duka la kutoshea mahitaji yote ya watu wa magari.

Tambua kuna magari makubwa kwa madogo, brand kadhaa.

Kuanzia awali kabisa unatakiwa ujitambulishe ni wateja wa aina gani unaenda kuwahudumia ukisema wote itakua ni uongo kwa uchanga ulio nao.

Hivyo basi fanyia kazi aina ya wateja unaopenda kuwahudumia ndio uwe mwanzo wa kuanzisha biashara yako.

Usipende mambo mengi, chagua machache unayoweza kufanya kwa ufanisi.
 
Mkuu labda unataka ukomae na pikipiki tu vipuri, lubricants, na urembo hapo

Mtu anipangeje hizi pikipiki za ina zote 3 hizi common Boxer, TVS, Fekon na ndugu zake

Kijiwe kiwe Dar ila pembezoni kabisa mwa mji.
Mtu ujipangeje changamoto na mbinu kama uta share.
 
Anza na pikipiki. Mtaji wake ni mdogo. Kwenye gari yapo aina tofauti, makubwa na madogo na bei za spare zipo juu. Pia inabidi upate eneo karibu na garage. Kuna wenye majina tayari hivyo inabidi uwe na subra ya miaka kadhaa.Ukiwa na mtaji mdogo ina maana utakuwa na vitu vichache na inaweza isivutie wateja maana huwa wanasema "yule huwa hana vitu vingi hivyo usihangaike kwenda pale".
Kwa pikipiki inabidi uwe na fundi mzuri hasa wa engine. Fundi akiwa mzuri wateja wanamfuata. Usipokuwa na fundi/mafundi wazuri huuzi. Faida ya spare za pikipiki ni ndogo hivyo inatakiwa volume iwe kubwa. Kumbuka madereva wa bodaboda wanajua bei ya spare hivyo huwezi kumpiga tofauti na wenye magari. Kwa Dar pikipiki nyingi ni boxer ikifuatiwa na TVs. Nje ya Dar boxer na TVs ni chache sana. Spare za TVs zipo juu (na hazitoki sana) ikifuatiwa na boxer. Pikipiki nyingine spare zake ziko chini.
Kumbuka hakuna biashara isiyo na changamoto hivyo jitose ila ianzishe wakati huna njaa! (hutaitegemea biashara ili uishi kwa angalau miaka miwili au mitatu).
 
Mimi sihusiki na aina hizo za biashara, mchango wangu ulikua wa kufungua tu macho kwenye swali ameuliza.
nadhani wapo wajuvi wa biashara husika watamwaga nondo zao huku.
 
Ushauri wangu ni wa jumla.

Kwanza umetaja magari na pikipiki, kuna uwanja mpana sana kwenye hizo biashara inabidi uingie ndani zaidi ujue unataka ku deal na nini haswa, maana kiuhalisia huwezi kufungua duka la kutoshea mahitaji yote ya watu wa magari.

Tambua kuna magari makubwa kwa madogo, brand kadhaa.

Kuanzia awali kabisa unatakiwa ujitambulishe ni wateja wa aina gani unaenda kuwahudumia ukisema wote itakua ni uongo kwa uchanga ulio nao.

Hivyo basi fanyia kazi aina ya wateja unaopenda kuwahudumia ndio uwe mwanzo wa kuanzisha biashara yako.

Usipende mambo mengi, chagua machache unayoweza kufanya kwa ufanisi.
Sawa shukurani bro
 
Kwa magari kwa haraka haraka kama ni kuanza naafikiria labda kwa magari chini ya Tani kumi labda nadhani kwa kuanzia inaweza kuwa si mbaya saana mkuu
 
Anza na pikipiki. Mtaji wake ni mdogo. Kwenye gari yapo aina tofauti, makubwa na madogo na bei za spare zipo juu. Pia inabidi upate eneo karibu na garage. Kuna wenye majina tayari hivyo inabidi uwe na subra ya miaka kadhaa.Ukiwa na mtaji mdogo ina maana utakuwa na vitu vichache na inaweza isivutie wateja maana huwa wanasema "yule huwa hana vitu vingi hivyo usihangaike kwenda pale".
Kwa pikipiki inabidi uwe na fundi mzuri hasa wa engine. Fundi akiwa mzuri wateja wanamfuata. Usipokuwa na fundi/mafundi wazuri huuzi. Faida ya spare za pikipiki ni ndogo hivyo inatakiwa volume iwe kubwa. Kumbuka madereva wa bodaboda wanajua bei ya spare hivyo huwezi kumpiga tofauti na wenye magari. Kwa Dar pikipiki nyingi ni boxer ikifuatiwa na TVs. Nje ya Dar boxer na TVs ni chache sana. Spare za TVs zipo juu (na hazitoki sana) ikifuatiwa na boxer. Pikipiki nyingine spare zake ziko chini.
Kumbuka hakuna biashara isiyo na changamoto hivyo jitose ila ianzishe wakati huna njaa! (hutaitegemea biashara ili uishi kwa angalau miaka miwili au mitatu).
Sawa , shukurani Sana mkuu umeeleweka saana . M/mungu aendelee kukubariki kwa hichi umetoa japo kwa uchache
 
Back
Top Bottom