Inakuwaje salio la akaunti ya benki linaonekana lakini ukitaka kuchukua pesa unaambiwa salio halitoshi?

wakikosi

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,354
1,483
Waungwana,

Ninapitia changamoto kwa masaa kadhaa sasa, kuna hela imewekwa kwenye akaunti yangu leo asubuhi, lakini nitaka nitoe kiasi kwa ajiri ya matumizi yangu, ATM inaniambia SALIO HALITOSHI.

Sasa cha kushangaza ukiangalia salio unaona fedha ipo nyingi sana, lakini kutoka haitoki.

Waungwana hapo shida ni nini?
 
Ingia ofisini kujua tatizo. Kuna wakati pesa inashikiliwa kwa muda kwa sababu maalum.

Kama hakuna hilo waeleze na utachukua mzigo wako.
 
Siku nzima mtandao unasumbua,mbona ni hatari sana

Nafikiri kuna shida nyingine na sio mtandao
 
Back
Top Bottom