Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili:
1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...