Kama utaenda Kununua Dada poa"Malaya" basi zingatia haya

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,339
51,883
KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA.

Anaandika Robert HERIEL
Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi kuonekana hadharani.
Lakini Mimi Taikon nitayasema Kwa uchache Kwa Nia ya kujenga. Na wala sikusudii kuhamasisha Uzinzi. Tena sikusudii kuwaambia mumwasi Mwenye Enzi, huyo aishiye sirini.

Basi ikiwa tamaa yako itafurika mpaka ukashindwa kuizuia kumwagika mwilini mwako. Nawe ukashindwa kudhibiti hisia zako. Ukaamua kumuasi Mungu wako, Kwa kufuata matamanio yako. Basi ikiwa matamanio Mema na mabaya yaliumbwa na Mungu, Ila ukaambiwa uchague matamanio yaliyo Mema. Lakini wewe ukachagua tamaa mbaya basi Taikon atakushauri ufanye Kwa akili huo ubaya wako ili usije ukaangamia Kwa baraka kabla haujatubu, tena usije iingiza familia na kizazi chako katika hasara kubwa.

Basi utakapopata tamaa ya Mwili. Ukavutiwa na kahaba, Kwa mvuto wake, au mikogo yake, au pengine umbile lake likakupagawisha.

Basi haya ndio utakayoyazingatia utakapoenda kununua Kahaba Kwa Aina zake.

1. Usiende na nguo ambazo unazitumia katika shughuli zako za uzalishaji, iwe ni kazi ya kuajiriwa au kujiajiri. Na Kama utaenda nazo basi ukimaliza usizitumie katika shughuli zako tena.

2. Usiende na pesa nyingi ikiwa utaenda katika makazi Yao. Kama BEI ya kumnunua ni Tsh 10,000 basi enenda na Walau Tsh 30,000/=

3. Utakapofika eneo la tukio, usiruhusu wakushike mikono kwenye kiganja chako wanapokung'ang'ania waowao Kwa wao.

4. Usifike na kuchagua papohapo. Bali fika na usimame umbali kidogo utakaokuruhusu kuwaona vizuri na kuchagua umtakae. Usiwakaribie kabla hujachagua ukiwa Mbali.
Zingatia kanuni hii.

5. Chagua kahaba ambaye ngozi yake bado inanuru, pia zingatia umri wake usiwe mdogo Sana wala usiwe Mkubwa Sana.

6. Usimuulize ulize maswali personal, wala usiombe Namba zake za simu ikiwa ndio mara yako ya Kwanza au yapili kununua Huduma yake.

7. Bila Shaka hatakuruhusu kumnyonya Romance, labda utoe dau kubwa. Hata uvutiwe naye Kwa kiwango kipi, kamwe usikutanishe mdomo wako na wake, wala ulimi wako na wake.

8. Usiwe na vitu vingi. Wala usivue suruali yote wakati wa tendo. (Kwa part-time)
Na Kama umechukua Hoteli (Kwa full-time) ili umtumie usiku mzima. Basi Asubuhi isikukute naye kahaba huyo. Hakikisha unaondoka kabla jogoo wa Asubuhi hajawika, au aondoke kabla ya jogoo wa Alfajiri hajawika

9. Usimpeleke kahaba katika Nyumba yako. Unayoitumia wewe na Mkeo, na wanao wakuwazaa, na wajukuu zako.

10. Usimdhulumu kahaba malipo yake. MPE kadiri ya mapatano Yenu.

12. Usitumie ulimi wako kumlamba mahala popote kahaba.

13. Usionyeshe Ubora wa nguvu zako Kwa kahaba pindi ufanyapo mapenzi naye.
Kwa maana huwezi shindana na kahaba, na wala huwezi onyesha nguvu zako kwake.

14. Usitumie Dawa za kusisimua kuongeza nguvu za kiume au urijali ufanyapo mapenzi na Kahaba.
Huwezi pata sifa popote Kwa kufanya hivyo.
Ni afadhali utumie mbinu hizo kwa mkeo WA ndoa. Utasifiiwa na hakuna atakayekulaumu.

15. Usiogope magonjwa ya zinaa Kama UKIMWI n.k ufanyapo mapenzi na Kahaba isipokuwa ogopa Dhambi ya uzinzi unayoifanya.

16. Usikae chini. Alafu kahaba aje juu yako. Bali wewe ndio uwe juu Kwa mitindo yote mtakayoitumia.
Kwa sababu mwanaume ndiye anapaswa kuwa juu. Na Kama kuna mwanamke anayestahili kuwa juu basi ni Mkeo uliyemuoa ukamuacha NYUMBANI.

17. Utakapofika mshindo, usiache shahawa zako kiholela. Ikiwezekana ondoka nazo ukazitupie mbele Kwa mbele.

18. Usiwekeane ahadi na nadhiri na kahaba. Usimuahidi ahadi yoyote kwa maana wengi wao wamejawa na hila za falme za Giza.

19. Usiguse Jambo lolote NYUMBANI kwako utakaporudi kabla haujajitakasa.
Usimkumbatie Mkeo, wala watoto wako, wala wajukuu wako utokapo kufanya uzinzi na kahaba.

20. Linda simu yako uwapo na kahaba, hata Kama hataiiba lakini iwe imedhibitiwa na namba za Siri

21. Usije ukajisahau ukazaa na Kahaba ilhali unajua unamke.

22. Usifanye mapenzi na kahaba taa zikiwa zimezimwa.

23. Usifanye mapenzi na kahaba ukiwa haupo timamu kiakili, aidha ukiwa umelewa pombe au kutumia vilevi vingine vinavyoathiri ubongo.

24. Kama vile usivyomjua vizuri huyo kahaba nawe asikujue vizuri.
Jitahidi kudanganya karibu kila kitu hasa mambo yanayohusu familia yako, na kazi yako.

25. Kama amekufurahisha Sana unaweza mpa Bonus Kwa kuifanya roho yako ijisikie Raha.

26. Usiende kununua kahaba Kama hujiwezi Kwa self-defence na kupigana. Hii itakusaidia Kama itatokea dharura za yeye kukufanyia uhuni Kwa kukuuza Kwa ving'asti Kwa kukusingizia haujamlipa au umemlipa Pungufu ilhali ulimlipa mlivyokubaliana. Hivyo kujua mapigano na kujihami kutakuzuia usidhurike Sana.

27. Usinunue Kahaba eneo ambalo ni mbali na barabara. Eneo ambalo limejitenga Sana usiende kuchukua kahaba.

28. Ikiwa utaundiwa zengwe na kukamatwa na huyo kahaba basi suluhisha uwezavyo ishu isifike Kwa familia yako.

29. Ikiwa umenunua kahaba Kwa Tsh 30,000/= basi hakikisha NYUMBANI siku hiyo umeacha mara mbili ya hiyo.

Baada ya kusema hayo Taikon anaomba apumzike.

Andiko hili sio Kwa watakatifu, Bali Wale wote waovu walioshindwa kuzizuia hisia zako.

Hata hivyo, mambo hayo Kama mlivyoyaona ni mambo mengi Sana. Hivyo ni Bora mtu aache kujihangaisha na kununua Dadapoa.

Ulikuwa nami;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Me nawashauri wanaume wenzangu oeni wadada wadogo mliowazid kila kitu Tena ikibidi walioshia darasa la saba..then jipigie show utakavyo...naelewa wanaume tumeumbiwa Sana tamaa sometimes una mke ila unataman na wa nje sijui kwanini halafu hi tabia ya kuwa na wapenzi wengi tumeambukiza mpk wanawake.
 
Me nawashauri wanaume wenzangu oeni wadada wadogo mliowazid kila kitu Tena ikibidi walioshia darasa la saba..then jipigie show utakavyo...naelewa wanaume tumeumbiwa Sana tamaa sometimes una mke ila unataman na wa nje sijui kwanini halafu hi tabia ya kuwa na wapenzi wengi tumeambukiza mpk wanawake.


😀😀😀

Wanawake sex kwao sio kipaombele
 
Nmekusoma vizur point to point,

Kuna vitu Umeandika uko sahii Sana, Nakupongeza Sana kwa hili.

ILa Kuna vingine umeandika havipo kabisa katika hii tasnia.

Tunaskiaga Vinaongelewaga Sana vijiweni ,makanisani au majumbani tulipokua tukiaswa tusiende maeneo ayo kwamba kule wanafanyaga hivi na vile kututisha tusitumbukie kwny huo uraibu , ila kiuhalisia hata havipo.

Ni kutiana hofu TU
 
Kifua cha kahaba kimebeba laana na mikosi na mabalaa.

Makahaba wengi ni maajent.

Makahaba hawana nafsi, nafsi zao wameuza kwa shetani kwa kujua au kutojua thus kahaba hata umpe milioni 10 kama mtaji ndio tatizo Katu hawezi Acha ukahaba, kwa maana ukahaba u ndani yake na si nje yake.

Jitakase kwa maji ya chumvi baada ya kulala na kahaba. Ukiweza ondoka na mbegu zako kabisa baada ya kumuasi Mola wako.
Kifua cha kahaba ni lango la kuzimu kwa maana KILA mwanaume alalalopo hapo uacha mikosi yake mikosi ni roho chafu unaposhiriki na kahaba possible ya zile roho chafu kukuvaa zikakuathiri au zikachukua baraka zako,zikachukua nyota yako,zikachukua nguvu zako.
Kumbuka mbegu zako ni malighafi yenye thamani kubwa kuzimu.

Wamiliki wengi wa guest, nyumba za makahaba,madanguro ni mawakala kwa Kazi maalumu.

Kumkomoa kahaba ni kuuchosha mwili wako.
 
Back
Top Bottom