Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Kapande Abood
 
Bus linatembea Km840 Kwa masaa 13-14 bado unasema yanakimbia sana
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Janga kuu ni rushwa, na wananchi wanateseka kila sekta kwa rushwa.
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Daaah, yaani anasafisha njia kabisa?! Duuuuh...!!!!
 
Kuna wengine wa njia ya mwanza.. wanakimbia sana. Hawaongelewi sababu wanafika muda ambao tunaona ni usiku mwanza. Ila kutoka dar mwanza umbali wake ukifika saa 4 usiku maana yake umekimbia sana kuliko hizo sauli na new force za mbeya na tunduma

Bus inayofika mbeya saa 12 jioni kutokea dar spidi yake ni ndogo kuliko bus iliyofika mwanza saa 4 usiku kutokea dar pia
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua Askari wowote wawao zamu siku husika wa usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia,Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Wivu tu!

Sasa ukutane na mimi nikuoe lifti natembeaga speed mpaka 200 baadhi ya maeneo sijui utafanya nini
 
Kuna watu hawajui kuna kukimbia na kuendesha rough mabus mengi haya kimbii ila rough wanaweza ku mantain hata 70 kwa hrbhasa Sauli Kwenye tuta anapita na speed 80 sabb gari zina booster mfano anaweza ku overtake sehem hatarishi lakini hajazidi ile speed waliyopangiwa hakuna ma Bus hatarishi kama Dar mwanza hawa Ally Stas Happy Nation ila hawaoni

Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom