basi

  1. Pmoses95

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

    Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41? Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu. Naanza kuona kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia. Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi kuna possibility ya...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mama Samia kule London alichagua kupanda basi au alilazimishwa?

    Embu tuweke ushabiki pembeni, sasa tujadili hili. Ni kweli rais wetu mpendwa mama Samia ameoneka kwenye msiba wa malkia wa Uingereza akiwa ndani ya basi, na picha mnato ikionyesha kama hakupenda kupigwa ile picha, yaani hakuwa comfortable kivileee! Sasa kwa namna tulivyozoea kuona akiwa ziara...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Fahari ya nchi yetu, ni sehemu gani ulivutiwa au unakerwa nayo uliposafiri kwa Basi au gari binafsi

    Ndugu wanajf habari, binafsi ninaposafiri navutiwa Sana na baadhi ya maeneo japo mengine yanakera Ninayoyapenda  Unaposafiri barabara ya Kutoka Dar kwenda Moro Kuna kasehemu kana msitu unapotoka bwawani Kuna kamsitu kazuri na kanavutia barabara yake nzuri. Pia ukifika Moro zile safu za milima...
  6. NYANOHA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mchango wa utalii katika maendeleo ya taifa letu. "Tuuthamini basi"

    MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI" Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
  7. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

    Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo. ===== Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa. Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kama TOZO zitaondoshwa au kupunguzwa, basi CHADEMA watapata "credit" na siyo CCM

    Kama kutakua na mabadiliko yoyote ambayo ni "positive" kwa upande wa TOZO basi "credit" itaenda kwa CHADEMA kwakua wao ndiyo wamekua mstari wa mbele kupinga hili jini Tozo. Haijawahi kutokea mwana CCM akapinga Tozo hadharani zaidi ya kusapoti. Tunaweka tu records sawa, Mwenyekiti wa CCM Taifa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu hakufa kwa risasi zote zile basi jambo zito sana Mungu atafanya katika siasa za Taifa hili

    Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto. Uwenda kikawa moja ya kisa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  12. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
  13. CK Allan

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kama ni kweli tunataka kushirikiana na Wananchi wanyonge kujiletea maendeleo basi yafanyike haya!

    Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa nimetania tu😆). Jana wakati mheshimiwa waziri wa Fedha anatetea Tozo alisema mambo mengi sana lakini Mimi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  16. Doyi

    JamiiForums Tanzania Basi la Bright Line Mwanza - Dodoma kwa hili nawapa kongole

    Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa. Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna Warusi walikua wamegawana majengo ya kunyakua Kyiv, ila ndio basi tu

    Taarifa zimejitokeza namna wakuu Urusi walikua wanagawana majengo ya Kyiv iwapo Putin angefaulu kuiparamia, walikua na uhakika wa ushindi ndani ya siku chache, lakini kwa ambavyo jeshi la Urusi lilipokea za uso pale Kyiv, ndoto zao zikazamishwa..... The Kremlin was so certain of victory in...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  19. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ujamaa ni kwa ajili ya kuhudumia na kuwatunza Politburo, basi!

    Hakuna kingine communism inafanya isipokuwa kuwahudumia politiburo, mfumo wa Tanzania haukuundwa kujali mtu wa kawaida bali ni kwa ajili ya wale walio juu na hilo ni kuanzia Serikalini, Mashirika mpaka Polisi na Jeshini, ukiwa mkubwa matatizo hayakuhusu, na na ndiyo maana Ujamaa au moja kati ya...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
Back
Top Bottom