Wizara ya Mambo ya Ndani ya Urusi imesema takriban watu 16 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Lori kugongana na Basi dogo lililokuwa limesimama katika eneo la Ulyanovsk leo Jumapili
Kwa mujibu wa mashahidi kuhusu chanzo cha ajali wamesema dereva wa Lori alishindwa kupunguza mwendo...
Kutokana na hali mbaya ya uchumi, watu wengi tunatumia usafiri wa basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine. Mabasi ya siku hizi yanakuja na Tv set. Wamiliki wa mabasi haya wana tabia ya kufungua mziki kwa sauti kubwa sana wakidhani labda ni burudani kwa abiria wote waliomo ndani ya basi husika...
Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila
Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu!
Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha.
Matamsh yalimdharaulisha
TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO
Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu
Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
Kwanza natanguliza salam kwenu ndugu zangu wa JF wote.
Sasa bila kupoteza muda ndugu zangu, hayo chini ni baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya, katu moyo wako hautapata maumivu ya aina yoyote katika hii dunia japo kuna changamoto ndogo ndogo za hapa na pale ambazo zitakupitia, lakini kwa muda...
Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
GARI ya Shule ya King David lililopata ajali jana eneo la Mjimwema, manispaa ya Mtwara Mikindani, mkoani Mtwara na kuua watu 13, lilikuwa pia likiwapa lifti wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mikindani.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shule ya Mikindani, Jacob Godfrey, aliyeeleza kuwa katika ajali...
Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60)
Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.
Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye;
✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi,
✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao...
Wakuu Krismasi nimepanga kuitest LANDCRUISER PRADO TX kutoka Dar mpaka Johannesburg nipitie njia gani baada ya kuvuka Border? Zambia-Zimbabwe-SA au Mozambique?
NB: Ikumbukwe hii ni Adventure tu vibali/documents zote zimekaa vizuri
CORRECTION: Njia gani nzuri Dar-Johannesburg
Habari za usiku wazee!
Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na...
Miruzi imekuwa mingi, na kila mmoja anavutia kwake. Walio wengi hawataki kukoselewa na walio wengi hawautaki ukweli.
Ukweli lazima usemwe bila kujali utamuumiza nani na bila kujali lawama za wenye kulaumu. Wanaume wamekuwa wanaume kwa jinsia ila ni wanawake kitabia, Wanawake nao wanajifananisha...
Wataalamu na wasomi na wajuzi hivi kwa bongo hizi dawa zipo.
Watafiti tunaomba dawa ya kurudisha nguo ziwe mpya maana nakumbuka zamani tulivaa nguo hadi ichanike, ila sasa hivi hata ikipauka tu tayari inaonekana chakavu hata kama bado haijaqualify kuwa dekio jipya. Sasa si wengine tunataka...
Ukisia taifa linawekewa Sanctions na mataifa ya magharibi basi usichukue poa hata kama hilo taifa lina nguvu kiasi gani kifo chake nikifo cha kikatili kwa uchumi wake mapaka vyombo vyake vya ulinzi.
Sanctions ni mwiba wa moto ktk miili ya ma dictator na mataifa korofi.
Kiufupi siku sio nyingi...
Habari JF,
Hivi kama watu, hasa vijana hampigi kura nini mnategemea? Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 watanzania waliojiandikisha kupiga Kura ni milioni 29.8 , lakini ambao hawakupiga kura ni milioni 14.8.
Sasa kama watu milioni 14.8 hawakupiga kura, si ndio hawa wanaojaza mikutano ya CHADEMA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.