basi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio basi tena, hawazuiliki hawashikiki

    Matokeo ya Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12 iliyozocheza. Ukiachana na kichapo cha leo ilichopata Mbeya City, mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa...
  2. Execute

    JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

    Hakuna ubishi. Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake. Au mnabisha?
  4. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania ANASEMA: Kesho 'Birthday' yangu 'nipost' basi

    Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu. Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea simu yangu, mara ukaingia ujumbe wa WhatsApp, kutazama namba ngeni (sijaihifadhi). kufungua nitazame...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini hivi vitu basi ujue una upungufu wa akili

    Haijalishi umesoma ama hujasoma ila kama unaamini hivi vitu ujue una mapungufu makubwa ya akili. 1. Uchawi, kama unaamini uchawi upo basi jua huna akili. Uchawi ni mambo ya kufikirika tu hayana uhalisia wowote. Karne hii ya 21 bado mtu watu wanaamini upumbavu wa kwamba uchawi upo kweli? Kama...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kagera sugar mmeshindwa kuifunga Yanga leo ikiwa imechoka basi Yanga itaendelea kuwa unbeaten mpaka mwisho

    Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa na kushinda kikubwa cha muhimu leo ilikuwa ni point 3 na zimepatikana ashukuriwe Mungu. Pongezi sana...
  8. Mzalendo39

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  9. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

    Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale. Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo. Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani...
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni makolo, kama kuifunga Yanga ni rahisi basi ifungeni nyie

    Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
  12. tpaul

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  14. Kamotee

    JamiiForums Tanzania January Makamba, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba, kama mna ndoto za kuja kuwa Marais kwenye Nchi hii basi futeni hizo ndoto

    Vijana mmeaminiwa na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania kwa kupewa uwaziri lakini mnachokifanya kwenye wizara zenu ni madudu tu. Hamjaonesha kuwa mko competent kuweza kugombea nafasi ya Urais hapo mbeleni. Mwigulu Nchemba umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya kodi badala yake umeweka tozo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

    Happy Sunday🖐🥰 Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto. T. I. A🙏
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Yanga Basi tuna pesa tunawanunua mpaka Simba?

    Kuna watu wanasema unbeaten ya kununua? Toka mwaka 2019 mechi za simba za ligi tunazinunua ? Mbona hawajashinda? Simba kwanini mnapenda Sana propaganda yaani yanga kukwama tu game moja ya kimataifa mwaka huu ndio kelele zote hizi? Hivi kwa mashabiki wa simba mlivyo na kelele Kama ndio timu...
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hassan Dilunga HD, ndiyo basi tena?

    Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
  19. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kwa vile bado tupo hai basi tujifunze haya

    Katika maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi lakini mawili ni muhimu zaidi. 1. Kujielewa yeye ni nani na anahitaji nini. 2. Kujithamini kabla ya kuthaminiwa. Ukishafahamu hayo kila kitu utakiweka panapostahiki. Kuna watu wa kila aina ndani ya jamii zetu. • Kuna waungwana • kuna watwana...
  20. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Yanga wakitumia angalau nusu ya Nguvu wanayotumia Wakicheza na Simba basi watunisia wanatoka!

    sina mengi , Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba, Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi! Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu, Game inaisha Kwa mkapa...
Back
Top Bottom