barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama tarehe 19 Tume ilipokea barua yenye majina ya Viti Maalum toka CHADEMA. Je, ilifanya lini mashauriano na CHADEMA?

    Kuna suala la hawa Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambalo wote naona tunalisahahu kulidadavua. Ibara ya 78(4) ya katiba ya Tanzania inasema hivi "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila chama kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Dada Halima Mdee

    Kwako Dada Halima Mdee. Sikupi pole kwa misukosuko iliyokukuta kwa sababu naamini unaistahili kutokana na kitendo ulichokifanya. Nitakuwa mnafiki kujifanya nakuonea huruma, wakati kiukweli kabisa sikuonei huruma hata kidogo, maana naamini kuwa tamaa ya fedha kuliko Kuheshimu imani ya wananchi...
  5. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

    Wanabodi, Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar. Wakati wa vurugu za...
  7. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Leo nilikuwa nipeleke barua ya posa ila nilivyofika chuo cha Ushirika Moshi nimeingia mitini

    Aisee! Asikuambie mtu Moshi kuna warembo.. -Leo nilikuwa Moshi kwa tukio la kihistoria la kupeleka barua na kujitambulisha kwa wazee wa binti, ila wakati nikitembea mitaani nikitazama mandhari ya jiji la Moshi nikajikuta nimetokea maeneo ya Chuo cha Ushirika Moshi, salalee kuna watoto wakali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nimemwandikia barua Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda aitishe kikao cha wadau kujadili bei ya Saruji!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo. Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo...
  9. hp4510

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

    Dada halima najua uko poa kabisa Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum Napenda kukwambia kuwa hao...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua

    TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda amesema baadhi ya mawakala wa vyama tofauti vya siasa wamekamatwa kwa madai ya kuzuia wananchi...
  11. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wito: Majimbo yaliyozuia Mawakala kuingia vituoni kwa kwa kukosa Barua ya Utambulisho yarudie zoezi na DED awajibishwe

    Sehemu mbalimbali nchi imeripotiwa kuwa mawakala wa CHADEMA wamezuiwa kuingia vituoni kwa sababu DED hajawapa barua mfano huko Tanga na Tarime. Jimbo la Kavuu tunaambiwa Mawakala 30 wamekamatwa na polisi wakati wakiekea vituoni na wapo chini ya ulinzi. Wito wetu ni kuwa Uchaguzi ufutwe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi

    Kwenu Familia ya Ali Hassan Mwinyi 1. Mzee Ali Hassan Mwinyi Ulijiuzulu miaka ya 1970 kwa sababu ya mauaji ya watu wasio na hatia wakiwa katika mikono ya dola, leo napenda nikufahamishe mzee wetu kuwa kuna wananchi wa Zanzibar, wasio na hatia wanauawa Zanzibar bila haki, bila sababu za msingi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe akiri barua inayosambaa mitandaoni ni yake

    Kaandiki hivi kupitia mtandao wa twitter: Barua inayosambaa ya tarehe 24/9 ya kujiondoa kwenye mbio za Urais ni ya kweli. Niliandika baada ya kutofautiana na msimamo wa Viongozi wangu wa kutaka nimuunge mkono Tundu Lissu. Hata hivyo barua hiyo ilikataliwa kwa sababu maneno " msimamo wa viongozi...
  14. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

    Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni. Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi/wanasiasa wa juu

    Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu. Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mheshimiwa Tundu Lissu namba mbili

    Habari wana jamvi! Naam, baada ya waraka namba moja,nimewiwa tena kuandika waraka namba mbili. Lengo ni lile lie kuzisaka kura kwa udi na uvumba. Kwa maoni yangu mheshimiwa Rais mtarajiwa nakuomba siku zilizo baki kila siku usikose kuyazungumzia masuala mtambuka yafuatayo kwani yanawagusa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    “Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze' HabariLeo na Mwanaspoti Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua yangu na wito wangu kwa IGP, Tume ya Uchaguzi na wenyeviti wa Vyama vya Siasa Taifa

    1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe. 2...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Back
Top Bottom