Barua ya wazi kwa Dkt. David Mnzava the Medical council of Tanganyika "Secretary and registrar"(The MCT registrar and secretary of the board)

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,735
Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI,
Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36
ilikuwa na kichwa cha Habari kisemacho "KUOMBA KUTAMBULIKA KAMA MADAKTARI KAMILI NA WIZARA YA AFYA" Ya tarehe 22 December 2022

Kwanza nikushukuru sana na nikusifie kuwa very active kwenye kujibu haraka Barua
(kwani sio wote hufanya hivyo wakiwa serikalini) kwani nimeona umenukuu na kukidi kupokea barua ya mwisho iliyotumwa tarehe 16/12 /2022 na umejibu Tarehe 22/12/2022
Almost one week Congulatulation Chief you deserve a "compliment"
Pili umetupilia mbali ombi la hawa madaktari wa "Clinical medicine na upasuaji" kutambuliwa kama madaktari Kamili na sio wasaidizi kwa hoja zako..."JAPO NITAZIPITIA HOJA HIZO"....

PINGAMIZI JUU YA HOJA ZAKO
unaweza ukawa una maana nzuri kabisa ila hoja zako zikafanya maana yako ikachukuliwa tofauti au ipo kimaslai sana.
  1. Nimeona Umeandika kuwa umefanya utafiti kwa Kuwatafuta chuo kikuu cha uzima kilichopo kenya kuhusu utambuzi wa wahitimu hao wakimaliza na baada ya kukujibu hukutazama vyuo vingine angalau hata sita au vitano tukaona ulinganifu wao vyuo viko vingi sana nchini kenya kwanini ujikite katika chuo kimoja
  2. Pili ukafanya mawasiliano na CORC ya kenya na wakakuambia kuwa wao wanawatambua wahitimu wa shahada ya utabibu na madawa huwatambua kama wabobezi wa UTABIBU

HOJA 1
Vyuo vingi sana na nchi nyingi sana sio tu kenya vinatoa Shahada ya UTABIBU NA UPASUAJI nchi kama MALAWI,ZAMBIA,ZIMBABWE,BURUNDI,RWANDA Nk.

hizi ulizifanyia utafiti pia ...au utafiti wako ulikuwa uko bias kwa ajili ya kutafuta suluhisho la Your planned solution

Nakupa Ulinganifu
nchi kama BURUNDI,ZAMBIA,MALAWI na zingine ukitoa kenya Wanamtambua huyo mwenye shahada kama MEDICAL LICENTIATE.

Maana yake Anausajili kamili Unaofanana na wa MD mbona utafiti huo umeuficha au uliona utapingana na MAONI YAKO

HOJA Ya pili ULINGANIFU WA HIZI KOZI MBILI
ili course iweze kulingana na kozi nyingine tuseme kozi hii ina uwiano sawa na kozi hii lazima vigezo fulani vifuatwe ma viwe kisheria sasa nitachambua ulinganifu wa kozi hizo ili kuweka record sana ...

1. MD/MBBS
Lazima uwe umefaulu PCB kwa wanaenda moja kwa moja Kutokea form six au uwe na ufaulu wa angalau B+ yaani GPA kuanzia ya 3.5 kama unatoka kwenye Diploma ya clinical medicine

kusoma miaka mitano yenye semister 10

2.UTABIBU NA UPASUAJI

Kusoma Miaka minne na nusu kwa uganda ambayo ni semister 10,Miaka mitano kwa Burundi rwanda na sehemh zingine ambyo nayo ni semister 10,Miaka mitatu yenye trimester ambayo ni sawa na semsster 9 kenya

VINAVYOLINGANA
matokeo ya kuingilia ni sawa wote MD na UTABIBU NA UPASUAJI
Kufanana muda wa kuwa masomoni ambapo wote wanakaa semister 10
wote wanasoma masomo sawa na ( nilibahatika Kupitia curriculum ya SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI zinalingana na MD/MBBS) KWA Asilimia 90
kwahyo nahisi ni kozi zinazofanana

KWanini mtu aliyesoma miaka 6 au 7 yaani CO MIAKA 3 NA BACHELOR MIAKA 4 jumla saba bado umuite kuwa ni AMO
kuna vitu haviko sawa Maybe kama kuna sababu nyinginezo..

IMG-20221224-WA0081.jpg
 
Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI,
Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36
ilikuwa na kichwa cha Habari kisemacho "KUOMBA KUTAMBULIKA KAMA MADAKTARI KAMILI NA WIZARA YA AFYA" Ya tarehe 22 December 2022

Kwanza nikushukuru sana na nikusifie kuwa very active kwenye kujibu haraka Barua
(kwani sio wote hufanya hivyo wakiwa serikalini) kwani nimeona umenukuu na kukidi kupokea barua ya mwisho iliyotumwa tarehe 16/12 /2022 na umejibu Tarehe 22/12/2022
Almost one week Congulatulation Chief you deserve a "compliment"
Pili umetupilia mbali ombi la hawa madaktari wa "Clinical medicine na upasuaji" kutambuliwa kama madaktari Kamili na sio wasaidizi kwa hoja zako..."JAPO NITAZIPITIA HOJA HIZO"....

PINGAMIZI JUU YA HOJA ZAKO
unaweza ukawa una maana nzuri kabisa ila hoja zako zikafanya maana yako ikachukuliwa tofauti au ipo kimaslai sana...

  1. Nimeona Umeandika kuwa umefanya utafiti kwa Kuwatafuta chuo kikuu cha uzima kilichopo kenya kuhusu utambuzi wa wahitimu hao wakimaliza na baada ya kukujibu hukutazama vyuo vingine angalau hata sita au vitano tukaona ulinganifu wao vyuo viko vingi sana nchini kenya kwanini ujikite katika chuo kimoja
  2. Pili ukafanya mawasiliano na CORC ya kenya na wakakuambia kuwa wao wanawatambua wahitimu wa shahada ya utabibu na madawa huwatambua kama wabobezi wa UTABIBU

HOJA 1
Vyuo vingi sana na nchi nyingi sana sio tu kenya vinatoa Shahada ya UTABIBU NA UPASUAJI nchi kama MALAWI,ZAMBIA,ZIMBABWE,BURUNDI,RWANDA Nk
hizi ulizifanyia utafiti pia ...au utafiti wako ulikuwa uko bias kwa ajili ya kutafuta suluhisho la Your planned solution

Nakupa Ulinganifu
nchi kama BURUNDI,ZAMBIA,MALAWI na zingine ukitoa kenya Wanamtambua huyo mwenye shahada kama MEDICAL LICENTIATE
Maana yake Anausajili kamili Unaofanana na wa MD mbona utafiti huo umeuficha au uliona utapingana na MAONI YAKO

HOJA Ya pili ULINGANIFU WA HIZI KOZI MBILI
ili course iweze kulingana na kozi nyingine tuseme kozi hii ina uwiano sawa na kozi hii lazima vigezo fulani vifuatwe ma viwe kisheria sasa nitachambua ulinganifu wa kozi hizo ili kuweka record sana ...

1. MD/MBBS
Lazima uwe umefaulu PCB kwa wanaenda moja kwa moja Kutokea form six au uwe na ufaulu wa angalau B+ yaani GPA kuanzia ya 3.5 kama unatoka kwenye Diploma ya clinical medicine

kusoma miaka mitano yenye semister 10

2.UTABIBU NA UPASUAJI
Lazima uwe umefaulu PCB kwa wanaenda moja kwa moja Kutokea form six au uwe na ufaulu wa angalau B+ yaani GPA kuanzia ya 3.5 kama unatoka kwenye Diploma ya clinical medicine

Kusoma Miaka minne na nusu kwa uganda ambayo ni semister 10,Miaka mitano kwa Burundi rwanda na sehemh zingine ambyo nayo ni semister 10,Miaka mitatu yenye trimester ambayo ni sawa na semsster 9 kenya

VINAVYOLINGANA
matokeo ya kuingilia ni sawa wote MD na UTABIBU NA UPASUAJI
Kufanana muda wa kuwa masomoni ambapo wote wanakaa semister 10
wote wanasoma masomo sawa na ( nilibahatika Kupitia curriculum ya SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI zinalingana na MD/MBBS) KWA Asilimia 90
kwahyo nahisi ni kozi zinazofanana

KWanini mtu aliyesoma miaka 6 au 7 yaani CO MIAKA 3 NA BACHELOR MIAKA 4 jumla saba bado umuite kuwa ni AMO
kuna vitu haviko sawa Maybe kama kuna sababu nyinginezo..

View attachment 2456742
Tatueni shida zenu professionally
 
Ufaulu unaotakiwa ni GPA ya 3.0 na sio 3.5

Kama hii tu umetudanganya nina imani kuna mengi tu umetudanganya
Nafikiri ningependa zaidi kama ungekuwa unaongea kwa facts nakupa uthibitisho huu

BUGANDO CUHAS GPA 3.5
Screenshot_20221225-222128_1.jpg

HUBERT KAIRUKI GPA 3.5
Screenshot_20221225-222156_1.jpg

KCMC GPA 3.5
Screenshot_20221225-222233_1.jpg

MUHIMBILI MUHAS GPA 3.5
Screenshot_20221225-222249_1.jpg

So next Time Sharbel ukija kutoa critics jaribu kuja na facts na sio blah blah blah
 
Hii ndio ya mwaka huu, hiyo uliyoituma ni ya muda sana.

Itoshe kusema kuna vitu vingi vimekupitaView attachment 2458220
Na hao waliomaliza hawakujiunga mwaka huu kumbuka nimezungumzia Graduate wa zaman....Na kitu kimoja kama utakuwa na mtu ambaye aliwahi kuwa na GPA ya 3 katoka Diploma halafu akaenda kusoma MD,Katika vyuo vyetu vya Tz naomba unitajie kwa sababu nipo kwenye Tasnia kwa muda mrefu na sinaona wakipta hiyo nafasi hapo iliandikwa kisiasa na katika kutimiza majukumu haifuatwi...
 
We focus kwenye andiko lako naona hoja ishakushinda, lakini nikwambie tu, unajiangaisha bure, hapo hamna hoja ya maana hata moja

Na hiyo barua yako unayomuandikia itakuja kuishia watu kufungia maandazi
 
Haya Sawa umesikika tuma salamu kwa watu watatu kijijini kwenu
 
Yani kisa kusoma PCB au kuwa na na GPA ya 3 kwenda kusoma huko ndio iwe kigezo kuwa mufanane na MD.

Sasa kama hivyo basi kozi karibu zote za afya wawe sawa na MD maana, wale wa direct wote wamesoma PCB, na wale wa equivalent nao Wana GPA za tatu na kuendelea
 
Back
Top Bottom