barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Marufuku kula Msibani, mnadani, mahindi ya barabarani

    Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umepiga marufuku isiyokuwa na muda ya watu kula katika misiba, mnadani, magulio pamoja na wanafunzi kuuziwa vyakula mashuleni kutokana na ongezeko la watu waliobainika kupata magonjwa ya mlipuko ya kuharisha, tumbo na kutapika. Zuio hilo limewekwa jana na Mkuu wa Mkoa...
  2. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

    Habari wadau. Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu Tazameni video ya tukio
  3. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Taa za Barabarani kutofanya kazi baadhi ya muda kunahatarisha maisha ya Watumuaji barabara

    Kuna maeneo yenye Highway kama barabara ya Kimara - Mbezi, gari ni nyingi na kun amakutano ya Temboni na Suka na kwa Msuguri taa haziwakagi basi ajali hutokea sana kwasababu ya Madereva kutojali makutano hayo. Mamlaka naona haijawajibika ipasavyo, taa haziwaki kwa wiki nzima na wamekaa...
  4. Championship

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mbeya na Songwe utaratibu ni kupaki barabarani kupeana zamu ya kupita?

    Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine. Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo. Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

    Abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya wametakiwa kupaza sauti kwa madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yamesemwa Disemba 21, 2023 na Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya soda: Mzee Kinana agizo lako kuhusu utitiri wa trafiki polisi barabarani liliishia wapi?

    Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move. Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa. Mzee zuio hilo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuriko ya maji yametokea leo Disemba 5, 2023 Mlima Kitonga, Iringa

    Salaam Wakuu, Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii imepostiwa pia na Change Tanzania pamoja na MwanaHabari. Je kuna ukweli wowote kwenye hili?
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi kuwakamata wamiliki wanaoingiza magari mabovu barabarani

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Zauda Mohamed. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa litawakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya wamiliki wa vyombo vya moto wanatumia kigezo cha mwisho wa mwaka kuingiza vyombo vyao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

    Wakuu, TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta. Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  14. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Madereva/waongoza gari - dondoo muhimu za usalama wako unapokuwa barabarani

    Matumizi ya vileo - hii sio rocket science, inajulikana ulevi unapunguza umakini barabarani. Matumizi ya simu za mkononi hasa ya mara kwa mara - mtu anaendesha huku anachat WhatsApp na kujibu watu s'time kwa text. Hii sio salama kwako na watumizi wengine wa barabara. Kuendesha kwa mazoea -...
  15. runtown

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miaka nenda rudi mvua huleta shida barabara ya Jangwani

    Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani. Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6. MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA. Mwafrika ni jamii ya mwisho...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Haya ni Maandamano ya Chumbani na Ofisini au Barabarani?.

    Tunajua Asilimia kubwa ya watanzania bado hawaelewa au kujua kabisa haki yao ya msingi katika taifa ni ipi kupitia katiba. Na hata kama tunajua ila bado haki yetu ya msingi kutoka kwa serikali haina maana sababu serikali hiyo hiyo ndiyo inakupa kibali na hiyo hiyo inakunyima kisa inaogopa popo...
  19. Kangosha

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mtatuua kwa presha

    Salam wanajukwaa, Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo? Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji...
Back
Top Bottom