bangi

  1. JamiiForums Tanzania Mirungi na Bangi sio dawa za kulevya, Mungu aliipanda kwa manufaa ya mwanadamu! Wa kumhoji ni Mungu siyo kutesa watu kwa makosa yasiyo yao

    Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho! Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu! Bangi inaota...
  2. JamiiForums Tanzania Gramu 8.42 za Bangi zamponza, apandishwa kizimbani Kisutu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imempandisha kizimbani Salum Hamad (65) kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa gramu 8.42. Akisoma hati ya mashtaka wakili wa Serikali, Judith Kyamba alidai kuwa Julai 30, 2023 maeneo ya Mbagala Rangi Tatu mshtakiwa alikutwa na dawa...
  3. JamiiForums Tanzania Iringa: Kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na Bangi zakamatwa na watu 12 Washikiliwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na bangi na kuwakamata jumla ya watu 12 wakihusishwa na dawa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kilimo cha bangi na ipunguze masharti ya uingizaji wa fedha nchini ili kukabili uhaba wa dola

    Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi. Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
  5. JamiiForums Tanzania Gunia 131 za bangi kavu, kilo 120 za mbegu za bangi na hekari 489 ya mashamba ya bangi na wawatuhumiwa 18 vyanaswa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro vijijini na Mvomero na kukamata jumla ya gunia...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Ghana lipitisha Muswada wa Sheria inayoruhusu Kilimo cha Bangi Kibiashara

    Kwa Sheria hiyo mpya sasa, Serikali ya Ghana itaachana na mazoea na kuungana na Mataifa mengine takriban 10 ya Afrika yaliyoamua kuhalalisha Bangi kwa matumizi ya Dawa, Viwandani na Biashara nje ya Nchi. Pamoja na ruhusa hiyo, mimea ya Bangi itakayozalishwa chini ya Sheria hiyo itakuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

    Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana. Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake...
  8. JamiiForums Tanzania DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  9. JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya katika eneo la Kisimiri juu kata ya Uwalu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ukamataji huo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Bangi ndio dawa inayoongoza kwa kutumika Tanzania

    Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri
  13. JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kilimo cha Bangi Tanzania🍁

    Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

    Wadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa. Swali ni je? Kazi ya Rizzla ni nini mbona madukani inauzwa...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Cassian Nyandindi: Arusha na Mara zinaongoza kwa bangi

    Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya. Akifafanua kuhusu kukithiri kwa matumizi ya bangi katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania amesema "Kutokana na ukamataji na jinsi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wavuta bangi hawasikii kero za Mbu?

    Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU. Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu...
  17. JamiiForums Tanzania Zembwela wa Wasafi FM aitaka Serikali iruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Wanaohitaji huku akiisifia mno

    "Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…