Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,109
Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu.

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie Baba.
 
Hataa Kwenye baadhi ya vinywaji nazan wanaweka bangi ...

Km Azam energy ukiwa na harosto na bangi ukainywa arosto yt inakataa Kwa mujibu wa mtu anayetumia bangi ndio kaniambia japo cjafanya utafiti mm km mm maana c mtumaji wa jani
 
Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu.

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie Baba.
Mwana hujawahi kabisa kugonga ganja cookies kwenye party? Vipi kuhusu magic mushrooms?
 
Mnajua gharama ya majani harafu waweke kwenye biscuit Wabongo kila mnachoambiwa mnakubali tuu mara kikombe cha Babu kinatibu ninyi ni safari mara maji sijui yanafanya nini ninyi ni kununua tuu na kubaki kulalamika wakati hamtikisi kichwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom