bangi

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yataja mikoa vinara uvutaji bangi

    Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma. Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mara yatajwa kinara kilimo cha bangi

    MATUMIZI ya dawa za kulevya aina ya bangi, yametajwa bado ni tatizo nchini, huku mkoa wa Mara ukiwa ni kinara katika kulima cha zao hilo ikifuatiwa na Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ndiye aliyebainisha hayo bungeni...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : Afande Sele alilia bangi kuhalalishwa

    Msikilize kwa makini
  4. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Hizi Hapa Faida za Bangi ikitumiwa ipasavyo

    Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ni kusababisha uraibu. Majani ya mmea wa kike wa Mbangi hutumika kutengeneza...
  5. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali haiwezi kuhalalisha bangi "for exportation only"?

    Dah! Kuna habari nimeiona BBC inaongelea kuhusu uhitaji wa bangi kwenye nchi za wenzetu kwa matumizi ya dawa nikahuzunika! Watu wanaohitaji hii kitu ni wengi, Demand ni kubwa kuliko supply na hela wanatoa kupata kimsokoto ni kubwa sana. Which is a benefit for the farmers! Kwanini hatuioni hii...
Back
Top Bottom